Nitakitaja ikihitajika.Ungekitaja hicho kituo ili kimulikwe kipekee! Vinginevyo itaonekana ni majungu tu!
Nitakitaja ikihitajika.
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.
Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Yawezekana ni moja ya vituo hewa