Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Kituo nilichopigia mimi kulikua na mawakala wawili tu,
 
Ungewajibika kusimama katika haki, sasa unapiga kura halafu unakuja kulalama hapa kurq yako kule inapotea ingekua bora usipigige kura kabisa kwa sababu um3enda kuchagua maisha yale yale
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Kukata tamaa ni dalili ya udhaifu.

Ikiwa Lissu akukata tamaa na kupambana kufikia hatua aliyofika wewe kutoowaona mawakala imekata tamaa?
 
Jimbo la Ilemela - Mwanza, Kata ya Kiseke chama cha ACT wazalendo jana kiliwaita mawakala wao na kuwapa semina elekezi, baada ya maelekezo kukamilika wakauliza hela ya nauli, wakajibiwa tutwatumia ujumbe kwenye simu zenu maskini wakasubiri kuona muamala unasoma, asubuhi wameishafika vituoni wakapokea ujumbe wa maneno na blah blah za tutawafikiria....walichofanya wakapigiana simu wakipie kura chama kingine cha upinzani, na kisha wakaondoka vituoni....kwa hiyo kura za ACT ya Ayatolla na Membe huko Ilemela hazina mlinzi!
Nimeambiwa na shemeji yangu ambaye alikuwa awe wakala wa ACT!
Kura zote za Act zinaenda kwa mgombea wa Chadema.
 
Its done
20201028_072007.jpg
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.

Pole mkuu, kuwaunga mkono chadema ni sawa na kujiunga DECI. Viongozi wa CHADEMA ni wachumia tumbo, chama miaka28 hakina dira wala misingi imara... hapo walishasoma ramani wakaona heri watafune hiyo pesa ya mawakala hawa na hawana kura za kutosha.
Ila upande mwingine chadema wana wanachama wachache ila watiifu kama wewe ambao hawaamini chadema sio chama imara
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Safi maana hivyo ndivyo vitatuongezea kura kwa jpm +waliopita bila kupingwa 25+mambo yetu jpm oy eee .
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
😢
 
Wakurugenzi sehemu kubwa wameondoa majina ya mawakala wa Chadema jana usiku na kupachika majina wanayoyajua wao, jimbo la Kawe ni mfano mmojawapo.

Hawa wakurugenzi ingetafutwa namna washughulikiwe.
 
Back
Top Bottom