Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Mimi nimeenda kupiga kura ndani mimekuta watu wa tatu tu mmoja anasoma namba na mwingine anaandika na mwingine anakupa karatasi za kupigia kura. Nimeshindwa kuelewa pale yupi ni wakala wa chama na yupi ni mtu wa tume ya uchaguzi.
Hata mimi hivyo. Nikauliza mbona wakala ni mmoja tu kura zetu zitakuwa salama? Nikaambiwa bado hawajaata narua za utumbulisho, walikuwa wanazungushana na WEO

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo,hadi kura zinaanza kupigwa mawakala wa Chadema hawajafika vituoni
Wakurugenzi sehemu kubwa wameondoa majina ya mawakala wa Chadema jana usiku na kupachika majina wanayoyajua wao, jimbo la Kawe ni mfano mmojawapo.

Hawa wakurugenzi ingetafutwa namna washughulikiwe.
 
Issu aliwaambia kama hakuna wakala hicho kituo kusifanyike uchaguzi, vipi mmeshindwa kusimamia hilo?
Mawakala wa upinzani wamenyimwa barua zakuwa wakala, hata Mimi nilipo piga kura hamna wakala, nchi hii upumbavu mwingi wallah
 
Acha uongo,hadi kura zinaanza kupigwa mawakala wa Chadema hawajafika vituoni
Mawakala wamefika asubuhi wakakuta majina yao hayapo, mkurugenzi amepachika majina anayoyajua yeye, anatimiza lile neno nimekupa nyumba na gari.....kutoka kwa jiwe.
 
Kamanda tunapoowaambia hakuna oganaizesheni mnatukana,mnasema sio lazima kuwa na ofisi siasa ni imani.Hivyo ni vyama vya mkononi,sasa hapo ni kwenye majiji je vijijini?
Hata mm Nina mashaka na kura za vijijini,hili suala la kuwa na. functional office ni muhimu,Kama ruzuku haitoshi ni vyema pesa inayotumika kuwakata wabunge ile 10% iwe wazi Kama ni kujenga ofisi iwe wazi
 
Lissu alisema kama hakuna wakala wa chadema, hivyo vituo kura zisipigwe. Imekuwaje tena mmeshindwa kusimamia hilo?
Wakurugenzi sehemu kubwa wameondoa majina ya mawakala wa Chadema jana usiku na kupachika majina wanayoyajua wao, jimbo la Kawe ni mfano mmojawapo.

Hawa wakurugenzi ingetafutwa namna washughulikiwe.
 
Sema ni kituo gani usiwe kama mwanga.
Ukisema kituo utatusaidia tupeleke wakala.
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
 
Bhasi ipo hivyo sehemu nyingi sana. Mm jimbo la Kawe, hapakuwa na wakala zaidi wa CCM

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Ndio wamenyimwa barua walipewa ccm,nchi hii upumbavu ndio kiupaumbele sana,no wonder umaskini hauishi walio na dhamana ndio vinara wa upumbavu sehemu yoyote isiyoheshimu haki na utu kuendelea nadra
 
Back
Top Bottom