Jimbo la Ilemela - Mwanza, Kata ya Kiseke chama cha ACT wazalendo jana kiliwaita mawakala wao na kuwapa semina elekezi, baada ya maelekezo kukamilika wakauliza hela ya nauli, wakajibiwa tutawatumia ujumbe kwenye simu zenu maskini wakasubiri kuona muamala unasoma, asubuhi wameishafika vituoni wakapokea ujumbe wa maneno na blah blah za tutawafikiria....walichofanya wakapigiana simu wakipigie kura chama kingine cha upinzani, na kisha wakaondoka vituoni....kwa hiyo kura za ACT za Ayatolla na Membe huko Ilemela hazina mlinzi!
Nimeambiwa na shemeji yangu ambaye alikuwa awe wakala wa ACT!