Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Dah..wapi hii kaka
Come on Mshana, yaani wewe hujajua tu huyu jamaa anachojaribu kukifanya? Kiingereza inaitwa voter suppression . Maana yake ni kutaka kuwakatisha wapiga kura tamaa kama chama chao au mtu wao anashinda ili wafuasi wakate tamaa na kuacha kupiga kura.
 
Hata Mimi hema nilio ingia nimeona wakala wa CCM.... Dah, sijui kama ni ile figisu ya kutopewa barua za utambulisho?!
 
Wabongo mnapenda sana lawama za kisenge, wewe ulishindwa nini kwenda kuomba kufanya kazi ya uwakala kwa siku ya leo ?
Mabivicha yana ruka na kukanyagana!

Tukiwaambia kushinda uchaguzi lazima na mfukoni uwe vizuri
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Itakuwa hawajalipwa posho na VYAMA vyao. CCM tupo?
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Ni kituo gani, Jimbo, wilaya, mkoa upi ili tuwaambie Lissu na Maalim wapeleke wakala haraka
 
Usivunjike moyo mkuu. Hapo ungetulia kwenye hicho kituo ulinde kura yako
 
Anatafuta uchochezi wa kuandamana jamaa maana hakuna njia nyingi kwa CDM zaidi ya kutengeneza mazingira ya fujo kuingia Ikulu.
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Hata Mimi kituo nilichopiga hakuna wakala wa Cdm. Walikuepo wa Ccm na Cuf, nimeondoka pale nimekata tamaa kabisa . Halafu ni kituo cha mjini huwezi kusingizia usafiri mbovu [emoji56][emoji87]
 
Mimi nimeenda kupiga kura ndani mimekuta watu wa tatu tu mmoja anasoma namba na mwingine anaandika na mwingine anakupa karatasi za kupigia kura. Nimeshindwa kuelewa pale yupi ni wakala wa chama na yupi ni mtu wa tume ya uchaguzi.
Sasa hapo ni kwamba hakuna wakala au hujaelewa yupi ni wakala maaana Title ya thread haiendani na ulicho kiandika ndani 🤔🤔🤔
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Waache ujinga
 
Huku Jimbo la kawe hakuna mawakala wa Chadema na wachache waliokuja hawana barua za utambulisho
Sijui kama mipango ya nchi nzima?! Nami katika kituo nilichopigia kura alikuwemo wakala wa CCM pekee
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Tulia dawa iingie vizuri. Ndio mjue hakuna kuvuna bila kupanda. Chama ccm kimesukwa vibaya mno, tangu mizizi mpaka matunda. Msione vyaelea, vyaundwa.
 
Pengine wameshawapeleka kusiko julikana. Kumbuka hadi sasa tuna vifo kama kumi hivi nafikiri, na bado ni asubuhi.
 
Back
Top Bottom