Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Wewe usitulishe matango pori hujaenda hata kupiga kura maana ungetaja kituo tungekuelewa
 
Yaani unachomaanisha Zanzibar ndo wanatakiwa kupewa furushi la karatasi za kura zikiwa kwenye Bahasha kabisa? Huoni wewe ndo mpumbavu?
Nani kwakwambia karatasi zao ha huku ni sawa huoni wewe ndio mpumbavu kilaza mkubwa
 
Vituo kibao Mawakala wamenyimwa barua ya utambulisho na wengi kuzuiwa kuingia ndani ya vituo vya kura!, Ungeuliza ungeonyeshwa wako nje wamejikunyata hawana namna!

Kituo nilichopigia mawakala walikuwa nje wamezuiwa kuingia ndani!
 
Jimbo la Ilemela - Mwanza, Kata ya Kiseke chama cha ACT wazalendo jana kiliwaita mawakala wao na kuwapa semina elekezi, baada ya maelekezo kukamilika wakauliza hela ya nauli, wakajibiwa tutwatumia ujumbe kwenye simu zenu maskini wakasubiri kuona muamala unasoma, asubuhi wameishafika vituoni wakapokea ujumbe wa maneno na blah blah za tutawafikiria....walichofanya wakapigiana simu wakipie kura chama kingine cha upinzani, na kisha wakaondoka vituoni....kwa hiyo kura za ACT ya Ayatolla na Membe huko Ilemela hazina mlinzi!
Nimeambiwa na shemeji yangu ambaye alikuwa awe wakala wa ACT!
Hiyo iko sawa kwan ACT hatarajii kushinda.
 
hili swala la mawakala halina wa kumlaum watu wanataka mabadilko bila kua na uzalendo ukiwa unatafuta mawakala utasikia hao hao wanaosema wanataka mabadilko watakuambia wanataka 25000 per day wakikuhurumia watakwambia 20 sasa kwa akil ya kawaida jimbo zima unatakiwa kua na mawakala wangapi na kwa uchumi huu wa sasa s kuuziana nyumba uko?
Eg jimbo zima vituo 105
kila kituo mawakala 4 au 3
3*105= 315 hio n jumla ya mawakala
315*20000=6,300,000
kwakweli MUNGU asipolinda nyumba yako wakeshao wafanya kaz bure.. Mungu atalinda izo kura
 
Mtashindwa vibaya sana. Uzembe huu. Kazi ya kuandaa mawakala nchi nzima ilitakuwa iwe ndiyo kipaumbele cha kwanza. Halafu wakala linaambiwa nenda kituoni barua utaletewa kesho nalo linakubali linaondoka k maniner babisa
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Jimbo gani Hilo? Tuanzie hapo.
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Mawakala wamekamatwa na mapolisi usiku kwa amri toka juu.
 
Kura ya awali iliingizwa katika bahasha na leo ndio zimeingizwa katika sanduku. Kabla ya kura kuanza mkuu wa kituo amefungua masanduku mbele ya mawakala anatoa bahasha na kusoma jina la mpiga kura na kufungua kura zipo tatu rais, mwakilishi na diwani na kuingiza katika sanduku la leo.
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.

Uchaguzi nao Mipango . Hawana ubavu
 
Mnyika kazi ya Ukatibu mkuu imeshamshinda

Niliwaambia kitambo. Ukatibu wa chama taifa sio kitu cha ilimradi
 
Lissu alisema kituo ambacho hakuna wakala wa chadema, hiko kituo hakuna kura kupigwa. Imekuaje tena nyie mnaendelea kupiga?
Vituo kibao Mawakala wamenyimwa barua ya utambulisho na wengi kuzuiwa kuingia ndani ya vituo vya kura!, Ungeuliza ungeonyeshwa wako nje wamejikunyata hawana namna!

Kituo nilichopigia mawakala walikuwa nje wamezuiwa kuingia ndani!
 
Sasa hapo ni kwamba hakuna wakala au hujaelewa yupi ni wakala maaana Title ya thread haiendani na ulicho kiandika ndani [emoji848][emoji848][emoji848]
Nieleweshe asee maana wote watatu mule ndani nimewakuta wamevaa nguo zinazo fanana so nani wakala na nani msimamizi pale
 
Back
Top Bottom