platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Kwa kariba ya Mkapa na historia yake ya kujisomea na kutokuwa na makundi, aliwajua Watu wengi na tabia zao. Ila transformation aliyoifanya aliona mbali sana.Mkapa alikuwa ana watu wake, business/intellectual types, akikupenda kakupenda hata watu wakisemaje hasikii.
Andy Chande alikuwa mtu ambaye Nyerere alimpenda sana, licha ya kutaifisha National Milling (kiwanda kilichokuwa cha Andy Chande), Mzee Chande hakumuwekea kinyongo Nyerere wala kuondoka Tanzania. Aliendelea kufanya kazi na Nyerere akiwa mwenyekiti wa bidi nyingi sana. Mkapa alimuheshinu sana Andy Chande kwa hilo.
The Range Rover Vogue did nit hurt his chances either.
Mimi nilikuwa nacheka sana nikienda pale Sea View na kuliona lile Range Rover, halafu namsikia Rais Mkapa anavyokemea rushwa mpaka kuunda Tume ya Warioba.
I guess he thought of himself as a special case.
Rex Mkapa, son of Julius Kaizari Nyerere.
Au tuseme Mwalimu aliona mbali sana japo kama kuna wakati hawakuwa sawa.
Mkapa alikuwa anaiangalia Tanzania in big picture, kuna wengine wanaitazama kwa 'ya leo na hapa na pale'.