Kitwana Selemani Kondo na Rais Benjamin William Mkapa Diamond Jubilee hall 2004

Hili zee jinga sana,I
Usilamu,uislamu,uisilamu kila siku huku ye kasoma kwa wakristo huku.
Kila kitu kibaya kwake kikimuhusu mkristu.
 
Watu wanaotafuta huruma za dini ni watu wadumavu sana kiakili. Hawa hata wakipewa wanachotaka kamwenhakitaendelea. Watu wa dini wanadumaza sana dunia.
 
Babu...
Umeghadhibika.

Uislam na Waislam una nafasi ya pekee katika historia ya mapambano dhidi ya ukoloni wa Wajerumani na Waingereza.

Hakuna njia ya kuwakwepa ila moja tu.

Usifungue niandikacho wala kuangalia video zangu.

Hii video hapo chini mpaka sasa imetazamwa na watu 42K.

View: https://youtu.be/93_HwHT0HMU?si=HqXTLttgKadx4I_t
 
Mgogo...
Mimi sijatafuta huruma.

Mimi nimesahihisha historia ambayo haikuwa ya kweli.
 
Babu...
Umeghadhibika.

Uislam na Waislam una nafasi ya pekee katika historia ya mapambano dhidi ya ukoloni wa Wajerumani na Waingereza.

Hakuna njia ya kuwakwepa ila moja tu.

Usifungue niandikacho wala kuangalia video zangu.

Hii video hapo chini mpaka sasa imetazamwa na watu 42K.

View: https://youtu.be/93_HwHT0HMU?si=HqXTLttgKadx4I_t

Mi siwezi kughadhibika na mambo yako ya kitoto haya,
nimekusoma miaka mingi sana kwenye habari nyingi tu ila ulipoanza kutia udini msimamo mkali ndio hapo tumeenda njia tofauti.
Kwasababu ya uisilamu wako kila kitu unataka kiwe halal ndo ujinga wako uko hapo.
 
Pale unapoandika maneno yasiyo ya kistaarabu ndipo unapodhihirisha joto linalofukuta ndani ya moyo wako.

"Hili zee jinga sana."

Unaniita "mtoto," "mjinga."
Haandiki haya ila aliyeghadhibika.
 
Tusameheane hapo,ni kweli ni ghadhabu tu mtu unajikuta umeandika hivyo.
Tuendelee na mijadala hapa.
 
Back
Top Bottom