Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

Kitwanga Lager takes you unexpected places. eh bana we!
 
Baada ya kupokea mgao wako toka bilioni 37 mlizozipata kifisadi na kuongezewa bonus baada ya kupoteza ajira na kesi ndiyo Magufuli kishaipotezea rasmi ni lazima usijute sasa ni kula kuku tu za mabilioni yako haramu.
Hivi kuna ushahidi wa hayo mabilioni. Saidia taifa fedha hizo zipatikane zijenge taifa
 

Just psychosocial health, and to make us as stupid
 
Anasema tumuunge mkono mhe. Rais. ..yeye mbona hajamuunga mkono mpaka kutumbuliwa kwa kunywa mipombe akiwa bungeni?
 
Acha akili mbovu ya kukurupuka wewe. Fuatilia habari ili uijue habari husika badala ya kukurupuka.

Hivi kuna ushahidi wa hayo mabilioni. Saidia taifa fedha hizo zipatikane zijenge taifa
 
Hayo yalikuwa maisha ya kuishi kwa mazoea mno!
 
Rais JPM ameshatengua utezi wake hivyo hahusiki tena chochote kitakamkabali baada ya hapo. Kama kweli yupo ndani ya kashfa Lugumu , mahakama ya Ufisadi na Uhujumu Uchumi itamkumhusu tu.
Kwa mujibu wa Katiba hakuna aliye juu ya sheria isipokuwa Rais. Hivyo Kitwanga asiombe huruma kwa kumshukuru Rais. Kitendo cha kutengua uteuzi wake ni kwamba tayari hajihusishi naye tena. Mhimili mwingine ndiyo unahusika naye.
Pia ukweli kuwa kwa mwenendo alikuwa anao Kitwanga baya zaidi lingeweza kumpata hivyo inaweza ikawa "grace by disguise". Tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…