Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

Ss tunaweza kufulahia hali aliyonayo lakini familia yake inaumia sana ninavyomfahamu si kitwanga huyo hata leo kanywa ila simlaumu kama tuna upendo tumuombee kwa mungu ili aludie hali yake ya kawaida
 
Ka ahidiwa lugumi haitajadiliwa bungeni ndo mana kapumua, alijua dili la lugumi lingebumburuka kumbe ccm wamemlinda kumpooza na machungu ya kufukuzwa kwenye uwaziri na swahiba.
 
Wakuu, hivi jamaa alishakili makosa yaliyo sababisha aondolewe katika wazifa wake?
Au ndo anajikosha kwa kumpongeza JPM.
Wait and see.....
 
Wakuu, hivi jamaa alishakili makosa yaliyo sababisha aondolewe katika wazifa wake?
Au ndo anajikosha kwa kumpongeza JPM.
Wait and see.....
usishangae akarudi ukuu wa mkoa
 
Ni kitendo cha uungwana, sababu alipewa nafasi alachemka mwenyewe
 
Akiwa na wandishi wa habari, ambapo akijibu maswali jana kijijini kwake usagara wilaya ya misungwi, kwanza alikataa kunywa pombe na kusema ameamua kuacha pombe.
Pia waandishi walimuuliza kwa utani kuwa hivi sasa pombe imegeuzwa jina lake kitwanga kutokana na tukio lake, lakini mbunge huyo alijibu kwa kushangaa kwamba anashangaa na yeye na kujiuliza sababu za kampuni za bia kutochamkia biashara kwa kutengeneza pombe yenye jina lake.
Source mwananchi
 
Ana akili sana hakujibu kwa hasira na kwa maana hio amewaziba midomo maana angeulizwa nmaswali akapaniki basi angeambulia kuja na majibu mabaya, asante Kitwanga kwa ku-control hasira
 
Back
Top Bottom