Benz Petrol
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 504
- 196
Kuhusu iwapo kufukuzwa kwake kuna uhusiano na sakata la Lugumi au la, Kitwanga alitumia majibu aliyedai kuwa ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa waandishi jijini Nairobi Kenya kwa kuhoji:
"Hivi mtu akikueleza mimi ndiye mume wa mama yako utakubali? Naomba hii ndio iwe jibu langu kwa Watanzania na wote wanaozungumzia suala hili na wasiniuize tena suala," alisema Kitwanga
"Hivi mtu akikueleza mimi ndiye mume wa mama yako utakubali? Naomba hii ndio iwe jibu langu kwa Watanzania na wote wanaozungumzia suala hili na wasiniuize tena suala," alisema Kitwanga