Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Hivi uchi kwa kihaya ndio naked na kiu ni thirsty ? kama ni wa kuoa sifa ni muhimu na kama ni wa kukata kiu hata angekuwa mweusi kama mnubi au katereza uso kwa nyembe kama mmakonde ni poa tu.

Hivi uchi ukiwa ni extra large au unatoa smell kama ya beberu la kondoo utaweza kupiga bakora kweli? Naona kiu ya kidume ni uchi uliopigwa perfume, kata mauno, lambalamba nyeti na style za push-up na kamata ukuta kama vile huna akili.

Kiu ya wa-kuoa ni utii tena ule wa magoti mpaka chini wa kisukuma au anayekuthamini na kukutunza na siyo longolongo.
 
mmh...how about kupendwa kuanze then utii ufauatie?.. I think its easy that way than the other way

Sashel..........mwanaumme alivyoumbwa hawezi kumpenda binti kabla ya kuona utii wake na utti siyo kupelekana kitandani kama baadhi ya wanavyosema.......................akiona anmsikiliza basi naye huanza kulainika na sababu ni kuwa mwanamke Mungu alimlaani ya kuwa atawaliwa na mumewe......................mwanaumme kiu yake aliyopewa ni kumtawala mkewe akiona hakuna dalalili ya kusikilizwa kumpenda huyu binti ni ngumu sana labda ile ya kiunafiki ya kumfanya na kuishia zake hiyo yawezkana lakni true love is preconditional to submission first............
 
Last edited by a moderator:
Kaunga.............ukimtii naye atakupenda ndivyo tulivyoumbwa na atakusiliza na kukuthamini...................Ndivyo maandiko matakatifu yanavyoelekeza...................mwanaumme ni mgumu kupenda mkewe ndiyo anashurutishwa kwenye maandiko matakatifu ampende mkewe:Love your wife and she must be submissive to you as to the LORD.

Traditionally mwanaume ndiye anayemfuata mwanamke kwa kusudi la mapenzi, so yeye ndiye anatakiwa kuonyesha huo upendo ndipo mwanamke nae awe mtii. Sasa unakuta anakupenda mwanzoni na mke haoni shida kutii maana ile haya ya kupendwa inatimizwa, baadae upendo unaenda ukipungua basi na utii nao unaenda ukipungua hivyohivyo...aisee ni ngumu sana kumtii mtu asiyekupenda.
 
Hivi uchi kwa kihaya ndio naked na kiu ni thirsty ? kama ni wa kuoa sifa ni muhimu na kama ni wa kukata kiu hata angekuwa mweusi kama mnubi au katereza uso kwa nyembe kama mmakonde ni poa tu.

Hivi uchi ukiwa ni extra large au unatoa smell kama ya beberu la kondoo utaweza kupiga bakora kweli? Naona kiu ya kidume ni uchi uliopigwa perfume, kata mauno, lambalamba nyeti na style za push-up na kamata ukuta kama vile huna akili.

Kiu ya wa-kuoa ni utii tena ule wa magoti mpaka chini wa kisukuma au anayekuthamini na kukutunza na siyo longolongo.
[MENTION]
ngaranumbe[/MENTION] kidume anacholilia kila siku ni kukubalika kwa binti awe wa kuoa au la...................na kadri anavyoona anamtii moyo wake hufunguka.............wakati binti akiona anamchangamkia mawazo yake hukimbilia kuwa huyu hana sera zaidi ya kumfanya tu......................kwa hiyo migongano huanzia hapo ya matarajio ya pande mbili kutooana........na hii migongano inaweza kuwafanya hata wasielewane..........................na huku wanapendana tena sana na mwishowe kukosana....so watchout na suala la uchi halipo mbele sana kwa kidume ila hulitumia kama kithibitisho cha kuwa anapendwa na binti ampendaye....................full stop................na kukumbushia ni kujihakikishia mara kwa mara kuwa bado utii upo palepale........ya kuwa............binti hajamgeuzia kibao.......
 
Mmnh!
Nimechanganyikiwa, UTII.
So if l do everything u tell me just like a robot then l make a very good wife eeh?

Kuna neno lingine umetumia KUTHAMINIWA; that one l can buy it. Na hii ni kwa wote, kwani hata sisi tunahitaji kuthaminiwa, kujaliwa na si UCHI tu.

Hivi total submission ndio utii? Na utii ni kama wa Papacy na Roman Catholic Priestdom? Au ni wa kiwango gani?

Yaani sielewi kitu kabisa! Rutashubanyuma.[/QUO

Kaunga...sidhani kama kuna kutii as if women got no heads to use, kutii kila neno litokalo kinywani mwa mume huo ni ukichaa!anyway ngoja Ruta mwenyewe afafanue
 
Traditionally mwanaume ndiye anayemfuata mwanamke kwa kusudi la mapenzi, so yeye ndiye anatakiwa kuonyesha huo upendo ndipo mwanamke nae awe mtii. Sasa unakuta anakupenda mwanzoni na mke haoni shida kutii maana ile haya ya kupendwa inatimizwa, baadae upendo unaenda ukipungua basi na utii nao unaenda ukipungua hivyohivyo...aisee ni ngumu sana kumtii mtu asiyekupenda.

Sashel kabla kidume hajakusogelea lazima amekosoma kuwa wewe unamtii.....na amejuaje ni jinsi unavyomwangalia na kumjibisha anaona hapa kunadili.....vinginevyo hata hangaika nawe.........wewe huoni lakini utii wako tayari kesha upima na polepole huanza kukumiminia mapenzi kulinganana utii wako............na hili hupaswi kujilazimisha huja naturally kama kweli unampenda..............ugumu wa kidume ni kumpenda mwanamke na ndiyo maana huwa tunatanguliza neno "ninakupenda" na hivyo kujibu maswali ambayo hata hatujaulizwa. na hivyo kuwa waongo wakubwa...................anayekupenda mara nyingi huonyesha zaidi kwa vitendo kulikoni kauli ya mdomo..................mwanamke kumpenda mwanaumme ni rahis na ndivyo alivyooumbwa.....................kumbuka you came from my left crooked rib.............very close to my heart.........then loving me comes natural to you but me loving you it is always a struggle despite the undeniable fact that you are from my own ribs..............
 
Kaunga...sidhani kama kuna kutii as if women got no heads to use, kutii kila neno litokalo kinywani mwa mume huo ni ukichaa!anyway ngoja Ruta mwenyewe afafanue

Sashel..........kutii ni kumthamini...period...................na siyo nidhamu ya woga kama wengineo wanavyofikiri........hususani Kaunga....Ni kumjali na kumtakia mema naye aweze kujisikia nia yako hiyo hapo hana ujanja lazima atakupenda tu kama wewe ndie wakupendwa naye. Waweza kuwa ni wakupendwa naye lakini akaona unambishia bishia sana kama vile unahoji madaraka yake kwako hata kama anakupenda vipi mwisho wa yote atakutapika tu......................hata kama utakuwa naye beneti atatafuta mpango wa kando kujisetiri na rabsha zako................running away from the insolent woman
 
Ruta Mwanamke ameumbwa kumtii, kumheshimu na kumpenda mume na Mwanaume ameumbwa kumtunza na kumpenda mke/binti. Tofauti ipo hapo.
 
Pakawa uko sahihi sana lakini..........mtihani kwa mwanamke ni kumheshimu mumewe..................na mtihani kwa mwanaumme ni kumpenda mkewe na hapo ndipo migongano huanza......mwanaumme yuko makini kama anaheshimiwa na mkewe na mama yuko makini kuona kama kweli anapendwa na mumewe............na kupendwa atapendwa kama ana utii kwa mumewe fullstop.....na hapo ndipo wakijua hayo na kuyafanyia kazi basi wanaweza kuelewana au kusarambatika...........
 
UPENDO huzaa yote haya. Kukiwa na upendo baina yao basi mwanamke atatimiza wajibu kama mwanamke na mwanaume atatimiza wajibu wake kama mwanaume ndani ya ndoa/nyumba. Upendo uwe wa maneno vitendo na hisia hakika mtayaweza maisha. Kusambaratika ni kukosa upendo au upendo kupungua baina yao.
 
Asante Sashel kwa kuja maana naona hata Rutashubanyuma ameanza kuingia laini. Sasa tumepata better word "KUTHAMINIWA". Na hii naikubali 100%, namthamini ninaye mpenda; as kumtii nitakuwa namdanganya, kwani sitafuata kila anachotaka bila kukianalyze na kukiona kinafaa in my own thinking!
 
Last edited by a moderator:
Ruta umenikumbusha biblical story ya Love and Respect. Tumeambiwa wanaume tuwapende wake zetu. nao wameambiwa watutii! Binti anakutaka umpende. Na wewe unataka akutii. Sasa basi akikutii, nawe utampenda sana. naye atakuwa mwenye furaha kuu kwani nae atajua kuwa anapendwa sana nawe...very logical...and very true! so ni kweli wanaume tunataka utii toka kwa spouses wetu...na huo utii utatufanya tuwapende sana...a perfect harmony!
 
Sashel kabla kidume hajakusogelea lazima amekosoma kuwa wewe unamtii.....na amejuaje ni jinsi unavyomwangalia na kumjibisha anaona hapa kunadili.....vinginevyo hata hangaika nawe.........wewe huoni lakini utii wako tayari kesha upima na polepole huanza kukumiminia mapenzi kulinganana utii wako............na hili hupaswi kujilazimisha huja naturally kama kweli unampenda..............ugumu wa kidume ni kumpenda mwanamke na ndiyo maana huwa tunatanguliza neno "ninakupenda" na hivyo kujibu maswali ambayo hata hatujaulizwa. na hivyo kuwa waongo wakubwa...................anayekupenda mara nyingi huonyesha zaidi kwa vitendo kulikoni kauli ya mdomo..................mwanamke kumpenda mwanaumme ni rahis na ndivyo alivyooumbwa.....................kumbuka you came from my left crooked rib.............very close to my heart.........then loving me comes natural to you but me loving you it is always a struggle despite the undeniable fact that you are from my own ribs..............

ahahha..couldn't resist to laugh on that..haya bwana
 
Halafu Rutashubanyuma sasa unakuja na Maneno mazuri sana "KUMHESHIMU"; again l don't have problem with that, kumbe l can still be a good wife; yeeeeeeeeeerr!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Asante Sashel kwa kuja maana naona hata Rutashubanyuma ameanza kuingia laini. Sasa tumepata better word "KUTHAMINIWA". Na hii naikubali 100%, namthamini ninaye mpenda; as kumtii nitakuwa namdanganya, kwani sitafuata kila anachotaka bila kukianalyze na kukiona kinafaa in my own thinking!

tatizo la Sashel na Kaunga ni kuwa kumtii ni nidhamu ya woga ..........si hivyo hata kidogo ni kumthamini na kuhakikisha saa zote wamtakia mema......................na akithibitisha hilo penzi lake lote hana wa kumpa ila ni wewe tu...........
 
Last edited by a moderator:
Ruta umenikumbusha biblical story ya Love and Respect. Tumeambiwa wanaume tuwapende wake zetu. nao wameambiwa watutii! Binti anakutaka umpende. Na wewe unataka akutii. Sasa basi akikutii, nawe utampenda sana. naye atakuwa mwenye furaha kuu kwani nae atajua kuwa anapendwa sana nawe...very logical...and very true! so ni kweli wanaume tunataka utii toka kwa spouses wetu...na huo utii utatufanya tuwapende sana...a perfect harmony!

Manumbu................yaani huo ndiyo mtihani uliopo hasa kwa hawa ndugu zetu hawataki kujisalimisha kwetu na matokeo yake siye kuwapenda inatuwia vigumu sana............
 
Last edited by a moderator:
Manumbu kwanini sio "ukimpenda naye atakutii"? Kwanini uanz utii?

By the way, nani anayetaka sana mahusiano kati ya mume na mke (disregard financial factor)? Kama ni wote, as it is supposed to be; then kila mtu a-play part yake; na kama mdau alivyosema hapo juu, mtongozaji ndio anaonesha interest first hivyo aoneshe upendo kwanza ili apokee zawadi/malipo ya 'utii'
 
Last edited by a moderator:
Halafu Rutashubanyuma sasa unakuja na Maneno mazuri sana "KUMHESHIMU"; again l don't have problem with that, kumbe l can still be a good wife; yeeeeeeeeeerr!!!!!!

Kaunga..............Kutii = kuheshimu + kuthamini= kujisalimisha na kutokana na kutii matunda yake ni kupendwa na yule unayemtii vinginevyo utajikosesha neema nyingi........neno liliilo karibu na kutii ni
kujisalimisha
kwa umpendaye
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom