Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

Absolutely! Aishi manila amewahi kutufungisha katika mechi za dirby nyingi the, hivyo asiaminiwe kamwe, kwani ndo alifanya tusichukue ubingwa msimu 2022-2023

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hapana bwana Manula amefungwa derby mbili tu ngao ya hisani na Azam federation cup mechi za ligi hatujawahi fungwa na Yanga akiwa langoni angalia vizuri stats zako
 
nisamehe mrs. genta.
Another ID [emoji23][emoji23] wewe Emoro una heka heka
IMG_20230129_212455.jpg
 
Siku zote mfa maji haishi kutapatapa nyie subirini kifo chenu tu msianze visingizio vya makipa hapa haloo!
 
Back
Top Bottom