Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari JF,
Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda.
2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli alichukizwa na kitendo cha wabunge wa Upinzani kutoka bungeni na kuapa hawatorudi bungeni, JPM alishinda uchaguzi sababu alikuwa anakubali na wapinzani wengi hawakupiga kura.
Wapinzani social medias tuko active sana lakini hatujiandikishi na hatupigi kura.