Kiuhalisia hayati Magufuli alishinda uchaguzi 2020, vijana jitokezeni kujiandikisha na kupiga kura

IMG-20241012-WA0000.jpg
 
Kazi ipi ?
Kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.Kutujengea uwanja mkuu wa mpira ambao majirani zetu hawakuwa nao.Kutujengea Bunge zuri pale Dodoma.Kuanzisha Ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kuunganisha mikoa yote kwa barabara.Kuanzisha Taasisi mbali mbali kama vile TRA,TCRA,TAKUKURU,MKUKUTA,TASAF,MEMKWA na mambo mbali mbali ambayo hayawezi kuelezeka.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom