Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.Kutujengea uwanja mkuu wa mpira ambao majirani zetu hawakuwa nao.Kutujengea Bunge zuri pale Dodoma.Kuanzisha Ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kuunganisha mikoa yote kwa barabara.Kuanzisha Taasisi mbali mbali kama vile TRA,TCRA,TAKUKURU,MKUKUTA,TASAF,MEMKWA na mambo mbali mbali ambayo hayawezi kuelezeka.Kazi ipi ?
SawaKuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.Kutujengea uwanja mkuu wa mpira ambao majirani zetu hawakuwa nao.Kutujengea Bunge zuri pale Dodoma.Kuanzisha Ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kuunganisha mikoa yote kwa barabara.Kuanzisha Taasisi mbali mbali kama vile TRA,TCRA,TAKUKURU,MKUKUTA,TASAF,MEMKWA na mambo mbali mbali ambayo hayawezi kuelezeka.