Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama magufuli aliamua hiyo 2020 kuwa wapinzani hawatarudi bungeni, sasa hivi mnataka watu wakapige kura ili iweje wakati rais anaweza kuamua nani atangazwe mshindi?Habari jf , linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi , hatujiandikishi , hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda .
2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli alichukizwa na kitendo cha wabunge wa Upinzani kutoka bungeni na kuapa hawatorudi bungeni ,JPM alishinda uchaguzi sababu alikuwa anakubali na wapinzani wengi hawakupiga kura .
Wapinzani social medias tuko active sana lakini hatujiandikishi na hatupigi kura .
Absolutely right.Kiufupi CCM toka Mfumo wa vyama vingi aliyewai kushinda kwa haki ni Kikwete tu Uchaguzi wa muhula wake wa kwanza Chaguzi zote zilizo fata CCM haijawai kushinda kiti cha urais achilia mbali viti vingi vya wabunge wa upinzani ambao uwa wanashinda kwa haki ila kutangazwa sasa.
Tume wakikusikia 🤣🤣🤣Ashinde kulikuwa na uchaguzi? Sema ametangazwa na tume kuwa mshindi.
Habari jf , linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi , hatujiandikishi , hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda .
2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli alichukizwa na kitendo cha wabunge wa Upinzani kutoka bungeni na kuapa hawatorudi bungeni ,JPM alishinda uchaguzi sababu alikuwa anakubali na wapinzani wengi hawakupiga kura .
Wapinzani social medias tuko active sana lakini hatujiandikishi na hatupigi kura .
Alishinda kwa kura ngapi!? Data ziko wapi?Habari JF,
Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda.
2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli alichukizwa na kitendo cha wabunge wa Upinzani kutoka bungeni na kuapa hawatorudi bungeni ,JPM alishinda uchaguzi sababu alikuwa anakubali na wapinzani wengi hawakupiga kura.
Wapinzani social medias tuko active sana lakini hatujiandikishi na hatupigi kura.
Tanzania imekaliwa na maiti hakuna siku wataamka kudai haki zao hata zikinyakuliwa na mtu mnyongeHabari JF,
Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda.
2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli alichukizwa na kitendo cha wabunge wa Upinzani kutoka bungeni na kuapa hawatorudi bungeni, JPM alishinda uchaguzi sababu alikuwa anakubali na wapinzani wengi hawakupiga kura.
Wapinzani social medias tuko active sana lakini hatujiandikishi na hatupigi kura.
Including youTanzania imekaliwa na maiti hakuna siku wataamka kudai haki zao hata zikinyakuliwa na mtu mnyonge
Kama tar 23 Erythrocyte aliogopa kuandamana basi wote ni maitiTanzania imekaliwa na maiti hakuna siku wataamka kudai haki zao hata zikinyakuliwa na mtu mnyonge
UmedanganyaKama tar 23 Erythrocyte aliogopa kuandamana basi wote ni maiti
Uongo uko wapi hapo ? Na kuna uwezekano hujajiandikisha pia kupiga kuraUmedanganya
Sasa kama unataka ligi basi endeleaUongo uko wapi hapo ? Na kuna uwezekano hujajiandikisha pia kupiga kura
Sio ligi ni ukweli kwamba kelele zinapigwa mitandaoni siku ya kupiga kura utasikia tu kila mtu nishapigaSasa kama unataka ligi basi endelea
Uko sahihi baada ya kazi nzuri aliyokuwa ameifanya Rais Mkapa ccm ilipita kwa kishindo 2004 na 2005.Kiufupi CCM toka Mfumo wa vyama vingi aliyewai kushinda kwa haki ni Kikwete tu Uchaguzi wa muhula wake wa kwanza Chaguzi zote zilizo fata CCM haijawai kushinda kiti cha urais achilia mbali viti vingi vya wabunge wa upinzani ambao uwa wanashinda kwa haki ila kutangazwa sasa.
Kazi ipi ?Uko sahihi baada ya kazi nzuri aliyokuwa ameifanya Rais Mkapa ccm ilipita kwa kishindo 2004 na 2005.