Kiuhalisia Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene kazi imemshinda basi tu ni kubebana

Kiuhalisia Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene kazi imemshinda basi tu ni kubebana

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.

Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.

Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajali zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule ule tangu tarehe moja ni ajali.

kuna vitu vingine lazima tu tuwe na akili ya kujihoji kwanini kipindi cha kangi Lugola ajali zilipungua kwa kiasi kikubwa?

Kwanini sasa hivi kuna mlolongo wa ajari kila week watu wanakufa na ajali nyingi zinahusisha mabasi tatizo nini? Sasa hivi hadi kuna ligi za mabasi watu wanabeti na inajulikana kabisa iko wazi, lakini mhusika hata kutoa tu tamko kashindwa?

Waziri yupo tu anazurula zurula inamaana ameridhika na ajari hizi?

Imekua Tanzania ya ajali sasa hivi. Kiukweli Waziri Simbachawene sasa hivi tuambiane ukweli tu hiyo nafasi hauiwezi imekushindwa swala la ajali barabarani limekushindwa huna mbinu, umezidiwa hadi na Kangi Lugola.

Utoke tu hapo utupishe.

Inaumiza sana na inatia hasira.
 
Watanzania bwana hata angeshuka malaika awaongoze mtalaaumu tu. Kila kiongozi hawezi kazi daaaaa
 
Akitumbuliwa mtasema mama anafukuza walioteuliwa na JPM
 
Binafsi ningependa malori yasafiri usiku ili gari nyingine zisafiri mchana

Malori ni chanzo Kijuu cha ajali
 
Yaani waziri ulitaka akakae mijiani ndio uone anafanya kazi? Kwani yy alisomea trafiki? Ujue wizara ile ina magereza so awe gerezani kujua wanasimamiwaje wizara ina uhamiaji so awe mipakani kusimamia waingiaji haramu wizara ile ina hiyo police iliyogawanywa idara kadhaa

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ni kama vile na wewe hujielewi, nani kasema asimame barabarani?
 
Huyu kilaza mpiga debe mwenzetu wa stand ubungo....hana ajualo...kilaza tu sasa nchi imekosa washauri wanamtisha Hangaya ajue hapiti 2025 asipowabana CDM kumbe uongo upinzani uko ndani CCM.....Mama hana intel yake kumwambia ukweoi kila Ores makini huwa aba intel ndani intel ana compare notes wakija bla bla aba blastwajipange upya huyu .......anawaaachia machogo wafanye watakavyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani waziri ulitaka akakae mijiani ndio uone anafanya kazi? Kwani yy alisomea trafiki? Ujue wizara ile ina magereza so awe gerezani kujua wanasimamiwaje wizara ina uhamiaji so awe mipakani kusimamia waingiaji haramu wizara ile ina hiyo police iliyogawanywa idara kadhaa

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app

1DDAFBA8-5828-4066-9AD0-A9F9DF2778B7.jpeg
 
Kabla ya kupima utendaji wake ni vizuri kujua yeye yuko upande wa Nani?
 
Back
Top Bottom