Kiuhalisia Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene kazi imemshinda basi tu ni kubebana

Kiuhalisia Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene kazi imemshinda basi tu ni kubebana

Kwa una maana mabadiliko mengine yanakuja, tuko kwenye ,,,ujue
 
Kabla ya kupima utendaji wake ni vizuri kujua yeye yuko upande wa Nani?

EEDD13A5-91C6-4C30-A6F5-4CB7783DDE6F.jpeg
 
Aliahidi mpaka mwezi August, watanzania wote wanaostahili kupata vitambulisho vya taifa watakuwa wamepata. Mpaka sasa yuko kimya na hakuna jipya.
 
Malori ni chanzo kikubwa.

Ukweli usioongelewa.
Mkuu hadi leo sielewi why Malory yanasafiri mchana

Na Simbachawene ni Waziri very senior, very wise and a good listener

I hope washauri watampa hili
 
Mkuu hadi leo sielewi why Malory yanasafiri mchana

Na Simbachawene ni Waziri very senior, very wise and a good listener

I hope washauri watampa hili

Angeanza na huyu:

IMG_20210930_170832_807.jpg


ingependeza zaidi
 
Siro alifanya kosa kumuondoa yule jamaa aliyekua amasimamia usalama barabarani na kumpeleka Moro kua RPC. Chini yake ajali zilipungua sana.
Huyu wa Sasa kazi haiwezi.
 
Too low

Hujui intelligence inafanyaje kqzi

What if Moses was the decoy na kwshamqliza kazi na anaendelea na yake?

Too low

Utekaji, upotezaji watu, uuwaji na dhuluma zote hazina mbadala wa jina bali ni udhwalimu na ushetwani.

What if Moses was another innocent soul like anyone na kwamba labda sasa hivi ni marehemu au yuko kwenye basement za majumba mjini hapa hapa?
 
Bora simbachawene utendaji wake. Hayo magari hayaendeshi yeye. Kuliko huyu ukigeuka huku tozo,ukinunua mafuta tu tozo,lipia bili tozo,tuma hela kidogo tozo,toa hela tozo,nunua vocha, sabuni, sukari tozo,uza tozo. Nunua tozo,utatozwa,lipa tozo,tozo pia
 
Too low

Utekaji, upotezaji watu, uuwaji na dhuluma zote hazina mbadala wa jina bali ni udhwalimu na ushetwani.

What if Moses was another innocent soul like anyone na kwamba labda sasa hivi ni marehemu au yuko kwenye basement za majumba mjini hapa hapa?
Don’t treat a special force kama chiku abwao mkuu

Pia usifuate mkumbo
 
Nashangaa sana , waziri simbachawene anafanya kazi zipi? au hata majukumu yake baadhi hayajui,

nitazungumzia swala la ajari za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo,

Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajari zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule ule tangu tarehe moja ni ajari,

una vitu vingine lazima tu tuwe na akili ya kujihoji kwanini kipindi cha awamu ya tano ajari zilipungua kwa kiasi kikubwa?

kwanini sasaivi kuna mlolongo wa ajari kila week watu wanakufa na ajari nyingi zinahusisha mabasi tatizo nini?
sasahivi hadi kuna ligi za mabasi watu wanabeti na inajulikana kabisa iko wazi, lakini mhusika hata kutoa tu tamko kashindwa?

waziri yupo tu anazurula zurula inamaana ameridhika na ajari hizi?

imekua Tanzania ya ajari sasahivi

kiukweli Waziri simbachawene sasaivi tuambiane ukweli tu hiyo nafasi hauiwezi imekushindwa swala la ajari barabarani limekushindwa huna mbinu, umezidiwa hadi na kangi lugola,


utoke tu hapo utupishe,

inaumiza sana na inatia hasira
Ccm bila ya magufuli ni mavii ya kuku ,,,ajali zimerudi kama zamani ,bado kuvuliwa nguo abiria na kuimbishwa ule wimbo
 
Back
Top Bottom