Kiuhalisia Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene kazi imemshinda basi tu ni kubebana

Kwa una maana mabadiliko mengine yanakuja, tuko kwenye ,,,ujue
 
Aliahidi mpaka mwezi August, watanzania wote wanaostahili kupata vitambulisho vya taifa watakuwa wamepata. Mpaka sasa yuko kimya na hakuna jipya.
 
Malori ni chanzo kikubwa.

Ukweli usioongelewa.
Mkuu hadi leo sielewi why Malory yanasafiri mchana

Na Simbachawene ni Waziri very senior, very wise and a good listener

I hope washauri watampa hili
 
Mkuu hadi leo sielewi why Malory yanasafiri mchana

Na Simbachawene ni Waziri very senior, very wise and a good listener

I hope washauri watampa hili

Angeanza na huyu:



ingependeza zaidi
 
Siro alifanya kosa kumuondoa yule jamaa aliyekua amasimamia usalama barabarani na kumpeleka Moro kua RPC. Chini yake ajali zilipungua sana.
Huyu wa Sasa kazi haiwezi.
 
Too low

Hujui intelligence inafanyaje kqzi

What if Moses was the decoy na kwshamqliza kazi na anaendelea na yake?

Too low

Utekaji, upotezaji watu, uuwaji na dhuluma zote hazina mbadala wa jina bali ni udhwalimu na ushetwani.

What if Moses was another innocent soul like anyone na kwamba labda sasa hivi ni marehemu au yuko kwenye basement za majumba mjini hapa hapa?
 
Bora simbachawene utendaji wake. Hayo magari hayaendeshi yeye. Kuliko huyu ukigeuka huku tozo,ukinunua mafuta tu tozo,lipia bili tozo,tuma hela kidogo tozo,toa hela tozo,nunua vocha, sabuni, sukari tozo,uza tozo. Nunua tozo,utatozwa,lipa tozo,tozo pia
 
Don’t treat a special force kama chiku abwao mkuu

Pia usifuate mkumbo
 
Ccm bila ya magufuli ni mavii ya kuku ,,,ajali zimerudi kama zamani ,bado kuvuliwa nguo abiria na kuimbishwa ule wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…