Kiuhalisia Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene kazi imemshinda basi tu ni kubebana

Ukijumlisha na malori inakuwa hatari tupu
Yes mkuu ila sipendi tuonekane tuna mabishano makubwa,ila yakihusisha FACTS itakua vema,malori unayoyazungumzia sio idadi kubwa sana,angalia T1 malori ni ya kawaida mno,kuna kipande cha barabara from kapiri mposhi to copperbelts in Zambia malori ni mengi mno na yenye kubeba mizigo mikubwa na ajali ni za kawaida ,tatizo kubwa letu ni BARABARA zetu ni mbovu karibu zote,kuna N3 from jhb to Durban malori ni mengi mengi mno but ajali zinazotokea sio sawa na hizi za kwetu.
 

Mkuu tatizo si malori kama malori. Tatizo ni madereva wa malori. Hasa hasa wa Burundi na Rwanda hapa nchini.

Madereva hao, mfano wa Rwanda kwao wanaufyata ila hapa kwetu ni faulo kwa kwenda mbele.

Nadhani hapo nimekuondoa Zambia na SA.

Fuatilia kuona ajali zinazohusisha madereva wa malori wa nchi hizo mbili hapa nchini.
 
ajari zinaendelea waziri ameridhika
 
Hivi mbeleko bado zipo kwasana
 
Kuna roba jingine la kinyesi hapo Madini... yaani utadhani hana kichwa... ni kuwaza wizi, utajiri na madaraka. Full pangua panga..KM ndio Mastermind... na hivi msaidizi wake ni yule msabato wetu hana anachoweza kuongea. Mfano halisi Tume ya madini yaani inatifuliwa mpaka aibu.
 
Kuna roba jingine la kinyesi hapo Madini... yaani utadhani hana kichwa... ni kuwaza wizi, utajiri na madaraka. Full pangua panga... na hivi msaidizi ni yule msabato wetu hana anachoweza kuongea. Mfano halisi Tume ya madini mpaka aibu.
mawaziri mizigo
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…