Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama JOE wa USA tu.Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Humuoni utafikiri unayajua mawazo yetu watanzania wote.
YeahNi kama JOE wa USA tu.
Na wala hawakupaswa kumsifia na pia hawakupaswa kuendelea kumkosa especially kipindi hiki ambacho hayupo. Kama kuna kiongozi alifanya mambo mengi ambayo upinzani ulikuwa ukiyapigia kelele toka vyama vingi vianze kwa mtizamo wangu ni Magufuli, hadi ilifikia kipindi wakasema anatekeleza sera zao, sasa sijui nini kiliwapata wakamgeuka.
Angalau sasa hivi chadema wa mtu ambaye hata ukimsikiliza akihutubia anaongea vitu na fact vyenye kugusa maisha ya wananchi moja kwa moja yaani ana ushawishi fulani hivi na uwezo wa kujenga hoja bila kutumia lugha kali, huyu si mwingine bali ni shekhe Kadogoo. Kama wasipombadilisha naye akaanza kupinga kila kitu na kushambulia watu kwa maneno makali basi huyu anaweza kuleta matumaini mapya chadema.
1. Moja ujenzi wa reli, bwawa la Nyerere na ununuziwa ndege walidai ni kupoteza fedha za umma na wao wakadai ni bora hizo fedha ziende kununua madawa kujenga mahospitali wakasahau ya kwamba mwamba alikuwa anaendelea na ujezi wa hospitali na vituo vya afya nchi nzima.Kipi magufuli alifanya kilichokuwa kinapigiwa kelele na wapinzani?
Kweli kabisa Chura Kiziwi hana ubavu wa kuishindaHabari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Umaskini wetu ni wakimfumo, wenzetu wanaheshimu sana taaluma ya Mtu na wanaitumia kuendeleza nchi zao lakini kwetu mwanasiasa anajiona anayajua mambo yote na kujitia anaweza amlisha Kila pahala. Uliza wakuu wa shule wanavyopelekeshwa na wanasiaza! Na ukiwa na misimamo wanakunyanyasa haswaa.Hivi huo utaratibu wa diwani kukutana na mtaalamu kwenye shughuli za kikazi upo Bongo Tu au hata nchi zilizoendelea. Labda huo ndio inakuwa ni Mwanzo wa udumavu wetu.
Wampitishe Zitto KabweIla kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Opportunist sana,Wapambane wachukue Katelephone chap wanabeba nchiii.Wampitishe Zitto Kabwe
Wapinzani hawana wagombea mahiri ni porojo tu nte nimekaa hapaHabari za usiku wakuu!