Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania tuna uhaba wa viongozi imara.

Tulionao wengi ni waigizaji tu.

Ukiachana na hao wazee wa maigizo.

Sisi pia wananchi tuna matatizo makubwa maana hatupendi kufanya kazi tunapenda short cut.

Ndio maana hao mitume na manabii kujaza watu wanaotafuta miujiza ni kawaida sana.
 
Anashinda mapema sana. Hao upinzani wabongo wachumia tumbo tu. Wapo ili wapewe hela, hawana utofauti na bongo movie waliopelekwa Korea. Hadi leo hawana agenda ya maana zaidi kudandia matukio. CCM kwenye uchaguz ni wamoja, ila hao majungu tu na kuzungukana
Onyo!! Tundu Lissu ni mpango wa Mungu! Ayakayejaribu kumzuia atayapata ya March 2021 JPM
 
Habari za usiku wakuu!

Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.

Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.

NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.

Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.

Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.

Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.

Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.

Acha nipumzike sasa
Chawa wamebandika picha za Mama kwenye mabango nchi nzima utafikiri Mama wa watu kapotea anatafutwa!!
 
Nina uhakika Chura Kiziwi akipata hata kura ml 1 za uhalali, nahama nchi
 
Sina uzoefu na awamu ya kwanza ya Mkapa, ya pili kidogo ila nina hakika kwa asilimia zifuatazo

Kikwete awamu ya kwanza alishinda kihalali, na Magufuli awamu ya Pili alishinda kihalali kabisa

Twende mbele turudi nyuma

Wengi walimpigia Magufuli sababu ya kazi aliyoifanya ijapokuwa mwaka 2015 hawakuwa wengi kivile ila baada ya kazi yake 2020 watu walifanya kweli

(Hii nina shuhuda kabisa kwenye eneo ambalo lilisifika kuwa ngome ya upinzani, nikaomba usimamizi wa kituo na nikayashuhudia yaliyo ndani ya boxsi la kura, na sio eneo langu tu hata kwa wenzangu)
Sema CHADEMA wanajifanya kupinga ila 2020 JPM alishinda kabisa licha ya mapungufu ya hapa na pale!
 
Jana bimkubwa ananiambia amechoka kuona watu wa CCM wanakuja nyumbani kumuambia habari za kadi na kuwa mwanachama, amesema wakija tena hawafungulii mlango
 
CCM waanze mbinu za kuiba kura mapema,
1. Kutafuta mchapishaji wa makaratasi ya kura kwa dili
2. Kuhakikisha nusu ya kura zimeshapigwa tayari kabla ya siku yenyewe.
3. Kuimarisha ulimzi mkali vituoni, ukipiga kura memda nyumbani kwako jifungie usubiri matokeo.
4. Kukata mitamdao yote siku 7 kabla ya uchaguzi.
5 Kuviweka vikosi vyetu vya ulinzi na usalama mguu sawa.
 
Habari za usiku wakuu!

Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.

Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.

NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.

Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.

Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.

Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.

Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.

Acha nipumzike sasa
Kwani Magu alishinda?
 
Wanawake hawafai kuwa viongozi kutokana na kuonewa huruma
 
Back
Top Bottom