Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndio maana unakuja na ushauri uliojaa nadharia. Asante boss.Mimi sio mwanasiasa bali ni mfuatiliaji tu wa mambo yanayotokea hapa nchini kwenye kila nyanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana unakuja na ushauri uliojaa nadharia. Asante boss.Mimi sio mwanasiasa bali ni mfuatiliaji tu wa mambo yanayotokea hapa nchini kwenye kila nyanja.
Ccm ilishawahi shinda uchaguzi liniHabari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kailishampeni.
Acha nipumzike sasa
Mkuu natamani sana Hizi Sala Mwenyezi Mungu azisikilize atuokoe sisi wana wakePenda wasipende! Kataa goma susa Rais wa JMT ni Tundu Antiphas Lissu. Hata arembue mimacho na kuyatuma majini ya kizmkz hakuna namna!
HahahaahUrais mbali hata angekuwa anagombea udiwani.
Ccm ilishawahi shinda uchaguzi lini
Na 2020?Kwa upande wa Urais inashindaga.
Na 2020?
Hahahaa 😅😅Hiyo jpm alishinda kwa kishindo.
2015 ndio kidogo alipata kura chache
Unamdanganya Nan? Chadema wameshavuka hatua huyo. Na Makonda anapenda sifa hafai uraisiIla kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Kwanza Samia lazima ashinde hata Wapinzani wangemuweka nani? Au wewe kwako Hadi Sasa unahisi mtu sahihi wa kumshinda Samia ni nani huko Upinzani? Tuanze na wewe utampogia kura huyo mtu wa Upinzani?Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Uko sahihiHabari za usiku wakuu!

Kwanza Samia lazima ashinde hata Wapinzani wangemuweka nani? Au wewe kwako Hadi Sasa unahisi mtu sahihi wa kumshinda Samia ni nani huko Upinzani? Tuanze na wewe utampogia kura huyo mtu wa Upinzani?
Watanzania wanachagua kiongozi kwa ushabiki wa uchama. Hata kama kiongozi hana sifa lakini kwa vile ni chama chake atamchagua. Wengi wapo hivyoPili WataTanzania(Waafrika) Huwa hawachagui viongozi Kwa Kufuata au kulinganisha ufanisi au nini amefanya,wao Huwa Wana sababu zao za kipuuzi na uzushi Kwa vile jamii kubwa Haina Elimu na inawezamkuwa manipulated kirahisi.
.😄Tatu hakuna system (the state) inaweza kukubali kumpoteza Rais wa aina ya Samia in favour ya wajinga,haipo sio tuu Tanzania Bali Duniani kote.DRC ni mfano mzuri.
Mwisho ni kweli Samia sio Muongeaji lakini Je wewe unahisi uongeaji ndio jambo Nchi inataka au uwezo wa kiungozi na kuleta matokeo? Mambo ya kuongea vizuri,kujaza watu matumaini hewa huzingatiwa na wajinga au watu wenye akili ndogo.
Sio lazima aongee yeye wataobgea wengine Kwa niaba yake,na chama ni muhimu Kwa watu kuliko mtu.Watibeli tutatoa tamko kuwa tutakuwa upande wa Samia au Laa.
Watanzania wanachagua kiongozi kwa ushabiki wa uchama. Hata kama kiongozi hana sifa lakini kwa vile ni chama chake atamchagua. Wengi wapo hivyo
.😄
Samia anamazuri yake na mabaya yake.
Ila ninampongeza katika suala la utulivu na kuwa mvunilivu kwa wapinzani wake. Ingawaje sio uvumilivu wa 100% lakini unaridhisha
Kwenye siasa uongeaji ni sehemu ya siasa. Tunazungumzia nguvu ya kushawishi watu.
Sio lazima uwajaze watu matumain hewa ndipo uwashasishi.
Unaweza kuwaambia ukweli na ukawashawishi
Sio lazima aongee yeye wataobgea wengine Kwa niaba yake,na chama ni muhimu Kwa watu kuliko mtu.
By the way malkia lazima alindwe at any cost.
Mtu kama Mimi siwezi chaguo Wapinzani Kwa sababu sijaona sera Wala hawana mshikamano wa Chama lakini mbaya zaidi nimeona sarakasi zao kwenye uchaguzi wa ndani wanashutumiana Kwa Rushwa na kukosa Demokrasia mambo ambayo eti wanailalamikia ccm,mpaka hapo kule Kuna Watoto wa madaraka na sio kama wanavyowadanganya watu majukwaani.
Kama wanataka CCM ishinde kwa 75% waweke Mbowe au Lissu.Unamdanganya Nan? Chadema wameshavuka hatua huyo. Na Makonda anapenda sifa hafai uraisi
Yes..................Mkuu una haki ya kutoa maoni yako. Kwa upande wangu na utafiti mdogo usiokuwa rasmi niliofanya nimegundua Tundu Lissu hakubaliki kama anavyokubalika William Lukuvi.
Lakini kila mtu yuko huru kutoa maoni yake.
Sababu za Watanzania kumkataa Lissu ni pamoja na mafungamano aliyonayo na wazungu ambao wanaunga mkono sera za mashoga.
Ukweli MAMA anaupiga mwingi sanaaaaMama , amepewa nchi ikiwa katika kipindi kigumu sana .
Pia upinzani hawana uwezo wa kuitoa Ccm
huyo ni the big chawaSas Lucas Ni mpambe au kichaaa