Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Luhaga Joelson Mpina akimtimua CCM chadema anapata mgombea takayebwaingizia kura nyingi sana Kwa kutumia jina la magufuli. Kula za ngosha atazibeba
Magufuli mwenyewe alikuwa anategemea wizi wa kura, sasa sijui ni kura zipi hizo za Ngosha.
 
Katika harakati za maisha mwaka jana nilizunguka baadhi ya vijiji kadhaa. Nilishangaa sana kusikia wanavijiji wa ndani ndani huko wakionyesha chuki za wazi kabisa kwa Rais Samia.

Wengi wa Watanzania hawampendi kabisa na mbaya zaidi Wanawake wenzake ndio kabisaa hawataki kumsikia.

Tatizo la upinzani wa Tanzania hawako makini. Mpaka sasa hakuna "mpinzani" anayeweza kuitikisa nchi kama alivyofanya marehemu L Mrema au E Lowasa.

Ikiwa mmoja kati ya WanaCCM atajitoa CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya upinzani nina hakika atashinda.

Mtu kama William Lukuvi bado yupo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi. Akizicheza karata zake vizuri anaweza kuwa Rais wa awamu ya saba kwa tiketi ya upinzani.
Mkuu anzisha chama uchukue nchi. Sisi wapiga kura wengi tunaojitambua hatuna muda tena wa kupoteza kujitokeza kwenye hizi chaguzi za kishenzi. Ila kwakuwa huko vijijini bado wanaimani na hayo maigizo yaitwayo uchaguzi, changamkia hiyo fursa kwa kuanzisha chama ubebe nchi.
 
Habari za usiku wakuu!

Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.

Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.

NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.

Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.

Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.

Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.

Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.

Acha nipumzike sasa
Tuache masihara kama taarifa zinasema 2020 Hayati Dr Magufuli hakushinda Dr Samia atawezaje?
 
Ila kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Waambie kina Makonda au Mpina waanzishe chama chao wabebe nchi. Urais unahitaji energy gani boss, au ukiww rais ubabeba matofali nini?
 
Habari za usiku wakuu!

Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.

Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.

NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.

Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.

Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.

Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.

Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.

Acha nipumzike sasa
Upinzani wa akina Mbowe au unazungumzia Gen z wa Kenya?😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️

2025 mama anaramba 90% ya kura. Nchi hii hhaijawahi kupata wapigakura wanaojitambua.
 
Katika harakati za maisha mwaka jana nilizunguka baadhi ya vijiji kadhaa. Nilishangaa sana kusikia wanavijiji wa ndani ndani huko wakionyesha chuki za wazi kabisa kwa Rais Samia.

Wengi wa Watanzania hawampendi kabisa na mbaya zaidi Wanawake wenzake ndio kabisaa hawataki kumsikia.

Tatizo la upinzani wa Tanzania hawako makini. Mpaka sasa hakuna "mpinzani" anayeweza kuitikisa nchi kama alivyofanya marehemu L Mrema au E Lowasa.

Ikiwa mmoja kati ya WanaCCM atajitoa CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya upinzani nina hakika atashinda.

Mtu kama William Lukuvi bado yupo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi. Akizicheza karata zake vizuri anaweza kuwa Rais wa awamu ya saba kwa tiketi ya upinzani.
Aione Tlantal, lucas na voice variable.
 
Upinzani wa akina Mbowe au unazungumzia Gen z wa Kenya?😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️

2025 mama anaramba 90% ya kura. Nchi hii hhaijawahi kupata wapigakura wanaojitambua.
Hahahaha ....Ndoto hizi
 
CCM waajabu sana, et Diwani darasa la 7 ananikolomea mi Doctor wa Binadamu mwenye Degree. Nilimwambia chezea wenginee.

Mkuu huyo hata ungesema antibiotic huku umekasirika.

Ungeshangaa police wanakuja kukubeba kwa kupata cm ya diwani kuwa umemtusi.
 
Huyu ni mrithi aloongezewa Muda huku ndg wakiendelea kuchakata mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom