Mkuu Mtibeli, naomba kukiri mimi ni miongoni mwa watu wanaokukubali sana kwa jinsi unavyojua kujenga hoja.
1. Ni kweli Tanzania, has never had any serious opposition to check out CCM!. Tungekuwa na upinzani makini na upinzani imara, siku nyingi CCM ingekuwa imeishapumzishwa!, ugumu ninao uona mimi upinzani uliopo unacheza makida makida tuu, kwa 2025 it's too little too late, kwa projections zangu, the possibility ni uchaguzi wa 2030,
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! kama CCM itabweteka!.
2. Hata atokee nani, uchaguzi wa Tanzania ni watu wanachagua watu na vyama, kuna maeneo ni strong holds za CCM, hata CCM ikisimamisha jiwe, jiwe linapita!, hivyo mgombea wa CCM kwa Tanzania ni undefeated!. Hivyo tunapowaambia CCM itatawala milele, mtuelewe.https://www.jamiiforums.com/threads/kupata-maendeleo-ya-kweli-watanzania-ni-lazima-tujifunze-kuukubali-ukweli-hili-la-ccm-kutawala-milele-ni-kweli.1457535/
3. Kwenye urais Tanzania tunachagua vyama a sio watu. Hivyo mgombea urais wa CCM sio lazima awe ni msemaji bingwa, Mwinyi hakuwa msemaji mzuri, Amani Karume hakuwa msemaji mzuri, Mkapa hakuwa msemaji mzuri, hivyo Samia atawekewa a good team ya wasemaji wa kumsemea. Kwa the Political landscape ya siasa zetu Tanzania, mgombea wa CCM ndie rais wa Tanzania, hata aje nani!
4. Wewe endelea kusubiria kwa hamu, chini ya mnazi, ukisubiri dodo bivu, lianguke!.
Mimi nasubiria kujua kama sauti hii ni ya ukweli
P