Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Humuoni utafikiri unayajua mawazo yetu watanzania wote.
 
Ni kama JOE wa USA tu.
 

Kipi magufuli alifanya kilichokuwa kinapigiwa kelele na wapinzani?
 
Kipi magufuli alifanya kilichokuwa kinapigiwa kelele na wapinzani?
1. Moja ujenzi wa reli, bwawa la Nyerere na ununuziwa ndege walidai ni kupoteza fedha za umma na wao wakadai ni bora hizo fedha ziende kununua madawa kujenga mahospitali wakasahau ya kwamba mwamba alikuwa anaendelea na ujezi wa hospitali na vituo vya afya nchi nzima.
2. Walipinga serikali kuhamia Dodoma wakidai muda wa kuhamia Dodoma bado hivyo JPM kakurupuka wakati huo hawakutoa specific time lini ndio muda sahihi wa serikali kuhamia Dodoma.
3. Walipinga ukamatiji wa makinikia wakadai serikali itashtakiwa MIGA.
4. JPM alipokuwa Kahama aliruhusa magwangala yaani mchanga au madongo yenye mabakik ya madini wananchi wachukue na sio mali ya muwekezaji ila kuna kiongozi wao mkubwa akadai ile ni mali ya muwekezaji.
5. Walipinga sera ya JPM ya kuwatumbua wazembe na kuwafunga mafisadi wakasema ule ni ukiukaji wa haki za binadamu na kuwa JPM ni mtu wa visasi.
6. Walitaka wananchi tufungiwe ndani kipindi cha corona tufe kwa njaa, utapiamlo na msongo wa mawazo.
7. Walitaka JPM asafiri nje ya nchi asijifungie kwani sisi sio kisiwa leo hii wanamlaumu mama kwa kusafiri nje ya nchi sasa hawa watu utawaeleweje?
Kifupi yapo mengi sana walitoyafanya chadema wapoteze mvuto mbele ya wananchi. Leo hii Makonda akiweka mkutano anaweza kupata wafuasi wengi kuliko vyama vya siasa ambavyo kwa kiasi kikubwa vinaomekana ni kama vipo kwa maslahi ya watu fulani fulani wawe wa ndani au wa nje ya nchi na huo ndio ukweli that's why hata katika speech za mwamba JPM ni mara chache sana ulimsikia akizungumzia mambo ya chama.
 
Kweli kabisa Chura Kiziwi hana ubavu wa kuishinda
 
Hivi huo utaratibu wa diwani kukutana na mtaalamu kwenye shughuli za kikazi upo Bongo Tu au hata nchi zilizoendelea. Labda huo ndio inakuwa ni Mwanzo wa udumavu wetu.
Umaskini wetu ni wakimfumo, wenzetu wanaheshimu sana taaluma ya Mtu na wanaitumia kuendeleza nchi zao lakini kwetu mwanasiasa anajiona anayajua mambo yote na kujitia anaweza amlisha Kila pahala. Uliza wakuu wa shule wanavyopelekeshwa na wanasiaza! Na ukiwa na misimamo wanakunyanyasa haswaa.
 
Izo zinaitwa kuwaza vitu visivyokuepo

Raisi samia awezi shindwa na wapinzani ata wakimuweka mwamposa kua mgombea wao bado hawawezi mshinda tena sio kushinda tuu kushinda kwa kura halali
Ni. Sawa na wapinzani wanao amini lowasa alimshinda magufuli
 
Wampitishe Zitto Kabwe
 
Maana mama amemoneshea zereu,aiwezekani kamatunaheshimiana uunde kinyazifa unichomekee mtu,maanayake sitoshii kitu ambacho mpaka Sasa sijaona matokeo yake ya kufanyika ilo.
 
Wapinzani hawana wagombea mahiri ni porojo tu nte nimekaa hapa
 
Tatizo sioni wa kuipigania nchi ili isonge mbele
Kila mmoja anawaza kuiba na kuitafuna nchi

Sijawahi kusikia mtu anasema kama tukichukua nchi basi ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma utaisha
Tusidanganyane hapa maana hakuna wenye nia hiyo

Watu ni wa kuburuzwa tu na viongozi wa pande zote wana kigugumizi kuliongelea hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…