PreGE2025 Kiukweli Chadema ni Brand fikiria Mbowe, Lisu, Kigaila, Mwalimu na Mrema hawapo lakini Heche anachanja mbuga!

PreGE2025 Kiukweli Chadema ni Brand fikiria Mbowe, Lisu, Kigaila, Mwalimu na Mrema hawapo lakini Heche anachanja mbuga!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema sio vibwengo ni wananchi.
IMG_1477.jpeg
IMG_1476.jpeg
 
Natamani CDM wafanye edition ya ule wimbo wa Simba wa Yuda anaunguruma uwe ndiyo wa kuwapandisha jukwaani wazunguzaji .
 
Ila huyo kigaila ungemuondoa hapo hakuna mtu wa hovyo kama huyo mgogo wa mpwapwa fuatilia mahojiano yake na star tv odemba
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Ukiishi ktk mitandao lazima utaona chadema bado ipo ila mitaani haipo. Imeshakufa na kuzikwa.
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Leo unatafuta likes kwa nguvu eeh😀😀
 
Ni RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.

Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
 
Back
Top Bottom