PreGE2025 Kiukweli Chadema ni Brand fikiria Mbowe, Lisu, Kigaila, Mwalimu na Mrema hawapo lakini Heche anachanja mbuga!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.

Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
Tumecheleweshwa sana. Ndio maana wamepaniki
 
Ni RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.

Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
Lissu na Heche wamerudisha heshima ya hiki chama kwakweli.
 
Moja ya vitu ambavyo vinampa Legacy mbowe ni kujenga chama ambacho ni taasisi..yaan awepo yeye au mimi, au mwingine chama knabak imara..akienda CHAUMMA atakua katenda makosa ambayo ata Mungu awez msamehe
Hii credit atabaki nayo miaka na miaka. Hata ile ya kufanya uchaguzi wa wazi na kukubali matokeo, ni bonge ya pointi. Chama cha mjomba hawawezi kufanya uchaguzi wa wazi namna ile na wakawa salama! Maana hata fomu ya mwenyekiti wanatoa moja tu, sijui wanaogopa nini ama wanamuogopa nani!
 
Ni RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.

Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
1747656684574.png
 
Moja ya vitu ambavyo vinampa Legacy mbowe ni kujenga chama ambacho ni taasisi..yaan awepo yeye au mimi, au mwingine chama knabak imara..akienda CHAUMMA atakua katenda makosa ambayo ata Mungu awez msamehe
Chadema ni TAASISI awepo Lisu asiwepo mambo yanakwenda inatisha. Kwa hili Mbowe Bravo.
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Sisi Wahaya tuna msemo usemao," Ba kusiim 'okwiruka , waraba n 'omwanyu"! Tafuta tafsiri yake! Ahahahahaha!!
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Imagine Tawala wanafanya mkutano siku mbili wakiwa na waandishi wote top wakiwa wanamuziki wote top wakiwa na waigizaji wote top tv na radio zote uzinduzi wa ilani lakini wapi haukua na mvuto wowote lakini CDM wanakosa hayo yote wanapiga mikutano nawanasikika kweli kweli tunapata mashaka na wale wanachama 13m kama wapo kweli?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Walioko mitandaoni mitaani hawahusiki?.

Hata Mbowe alidanganywa na chawa wake eti huko mitandaoni anakopingwa wanaompinga siyo wapiga kura, ila mwisho wa siku ile tar 21, Jan 2025 hatakuja kuisahau milele
Wale wanaokuja mikutano ya CDM sio watu wa mitandaoni na hawabebwi kwa malori wala hawapikiwi ubwabwa namba hazidanganyi CDM mtandaoni ipo na ground kipo pia angalia hata view za mikutano yao na views za tawala juzi walipokua na vikao vyao hadi aibu wengine wanajibunia Tume ya uchaguzi na manjagu
 
Wale wanaokuja mikutano ya CDM sio watu wa mitandaoni nanhawabebwi kwa malori wala hawapikiwi ubwabwa namba hazidanganyi CDM mtandaoni ipo na ground kipo pia angalia hata view za mikutano yao na views za tawala juzi walipokua na vikao vyao hadi aibu wengine wanajibunia Tume ya uchaguzi na manjagu
True
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Ongezea,waliopo upande wa pili anza na Silinde,Kafulila,propesa mkuumbo,msado n.k
ACT yupo Zitoo wote hawa wametengenezwa na cdm,na sasa imeishahamia kwenye mioyo ya watu.
ni mwendo wa tone tone
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Jo kwa kulinda heshima yako ondoa jina la chapombe John Mrema, huyo alikuwa karani tu hapo Chadema HQ.
 
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga

Ahsanteni sana

Mlale unono 😁
Kuna mwajiriwa ana two options
1. Kwenda kufanya kazi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya kitengo cha manunuzi
2. Kwenda kufanya kazi wizarani katika kitengo hicho hicho cha manunuzi.
Kwa uzoefu wako ungemshauri achague kwenda wapi kwenye manufaa zaidi ?
 
Back
Top Bottom