johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Unadhani hangaya kukataa tume huru ni Masihara?
Anaogopa CHADEMAUnadhani hangaya kukataa tume huru ni Masihara?
Atatema bungo tu.Anaogopa CHADEMA
Moja Takatifu la Mitume ππΉπΏUsisahu kuwahi missa ya Ahsubui
Kwa nini umewataja hao?Mbowe, Lisu, Kigaila, Mwalimu na Mrema hawapo lakini Heche anachanja mbuga!
Ukiishi ktk mitandao lazima utaona chadema bado ipo ila mitaani haipo. Imeshakufa na kuzikwa.Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Sabato umo,Moja Takatifu la Mitume ππΉπΏ
Leo unatafuta likes kwa nguvu eehππNajua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π