Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Tumecheleweshwa sana. Ndio maana wamepanikiNi RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.
Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
Nyomi hainaga likes πππLeo unatafuta likes kwa nguvu eehππ
Lissu na Heche wamerudisha heshima ya hiki chama kwakweli.Ni RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.
Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
Hii credit atabaki nayo miaka na miaka. Hata ile ya kufanya uchaguzi wa wazi na kukubali matokeo, ni bonge ya pointi. Chama cha mjomba hawawezi kufanya uchaguzi wa wazi namna ile na wakawa salama! Maana hata fomu ya mwenyekiti wanatoa moja tu, sijui wanaogopa nini ama wanamuogopa nani!Moja ya vitu ambavyo vinampa Legacy mbowe ni kujenga chama ambacho ni taasisi..yaan awepo yeye au mimi, au mwingine chama knabak imara..akienda CHAUMMA atakua katenda makosa ambayo ata Mungu awez msamehe
Ni RASMI CHADEMA NI CHAMA MBADALA KWA CCM KTK KUUNDA SERIKALI.
Chadema ni Raia na huezi Tena kusema ni chama cha watu Fulani,Una wasomi,wabobezi,waatLamu,wafanya biashara wakybwa,watu wa misimamo isiyoyumba na inaondoa waJinga kama kina mrema/kigaila wwnye uhuni ndani yake.
Chadema ni TAASISI awepo Lisu asiwepo mambo yanakwenda inatisha. Kwa hili Mbowe Bravo.Moja ya vitu ambavyo vinampa Legacy mbowe ni kujenga chama ambacho ni taasisi..yaan awepo yeye au mimi, au mwingine chama knabak imara..akienda CHAUMMA atakua katenda makosa ambayo ata Mungu awez msamehe
Sisi Wahaya tuna msemo usemao," Ba kusiim 'okwiruka , waraba n 'omwanyu"! Tafuta tafsiri yake! Ahahahahaha!!Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Yaani!!?Lissu na Heche wamerudisha heshima ya hiki chama kwakweli.
Imagine Tawala wanafanya mkutano siku mbili wakiwa na waandishi wote top wakiwa wanamuziki wote top wakiwa na waigizaji wote top tv na radio zote uzinduzi wa ilani lakini wapi haukua na mvuto wowote lakini CDM wanakosa hayo yote wanapiga mikutano nawanasikika kweli kweli tunapata mashaka na wale wanachama 13m kama wapo kweli?π€£π€£π€£π€£π€£Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π
ππNyomi hainaga likes πππ
Yericko Nyerere aione kwenye failiMoja ya vitu ambavyo vinampa Legacy mbowe ni kujenga chama ambacho ni taasisi..yaan awepo yeye au mimi, au mwingine chama knabak imara..akienda CHAUMMA atakua katenda makosa ambayo ata Mungu awez msamehe
Wale wanaokuja mikutano ya CDM sio watu wa mitandaoni na hawabebwi kwa malori wala hawapikiwi ubwabwa namba hazidanganyi CDM mtandaoni ipo na ground kipo pia angalia hata view za mikutano yao na views za tawala juzi walipokua na vikao vyao hadi aibu wengine wanajibunia Tume ya uchaguzi na manjaguWalioko mitandaoni mitaani hawahusiki?.
Hata Mbowe alidanganywa na chawa wake eti huko mitandaoni anakopingwa wanaompinga siyo wapiga kura, ila mwisho wa siku ile tar 21, Jan 2025 hatakuja kuisahau milele
Why Yerickko?Yericko Nyerere aione kwenye faili
TrueWale wanaokuja mikutano ya CDM sio watu wa mitandaoni nanhawabebwi kwa malori wala hawapikiwi ubwabwa namba hazidanganyi CDM mtandaoni ipo na ground kipo pia angalia hata view za mikutano yao na views za tawala juzi walipokua na vikao vyao hadi aibu wengine wanajibunia Tume ya uchaguzi na manjagu
Ongezea,waliopo upande wa pili anza na Silinde,Kafulila,propesa mkuumbo,msado n.kNajua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Jamaa ana amini kuwa bila Mbowe HAKUNA upinzani!Why Yerickko?
Jo kwa kulinda heshima yako ondoa jina la chapombe John Mrema, huyo alikuwa karani tu hapo Chadema HQ.Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π
Kuna mwajiriwa ana two optionsNajua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga
Ahsanteni sana
Mlale unono π