Kiukweli Gwajima katuvuruga sana. Tunawaza na kuwazua

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
 
Matumbo ya kanda ya ziwa Mkuu yalibarikiwa. Chukua hiyo.
 
Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
We kuna mwenye akili yoyote umeona amemjibu? Au ameongea hoja yoyote yamaana? Sasa mfano mtu anasema hata kura za maoni hakupita,hapo anajibu hoja au ni upuuzi tu,kwani ni Gwaji boy pekee hakupita ila akawa Mbunge mbona wapo wengi,Mwana FA alipita? Watu kutekwa hakuna anayegusa zaidi ya utoto utoto tu
 
Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
Anajua mule kuna watu wako na uwezo wao mdogo kuanzia akili hadi kufikiri

Ova
 
Back
Top Bottom