Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

5E2FC974-1677-4D3D-8371-79E97454C6F6.jpeg
 
Mlitegemea kuwa na msimu mzuri kwa aina gani ya wachezaji ambao mko nao?

Mlitegemea nini tofauti na hiki ambacho tunakiona?

Mlitaka mfanye nini? Mgandishe damu halafu mseme maini?
 
Back
Top Bottom