Kiukweli kauli ya Thabiti Kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ?

Ni kweli kabisa vurugu zilikua chache sana, tena kwa muda mfupi sana ila mashambulizi kutoka kwa askari dhidi ya raia wasio kwenye vurugu ndio yaliku mengi, takriban siku tatu za mashambulizi dhidi ya saa chache za vurugu !

Mtaani kwetu hakukuwa na vurugu hata kidogo ila walio kufa kwa kupigwa risasi walifika saba!
 
Kiukweli kauli ya thabiti kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ?

Kubabake kyabakari ntaliaamwe.
Huyo Kombo ni mavi matupu kama alivyo yeye na Samia wake. Wote ni mbumbumbu wasiofaa. Huyo waziri kapewa uwaziri kwa sababu anatoka kule kule. Ni mjinga mno.
 
Ilitakiwa Mtanganyika ndiye awe waziri wa mambo ya nje.
 

Inaitwa purge haina tofauti na purge ya genocide ya siku 100 mwaka 1994 wahutu kuwalenga watutsi.

Serikali ya CCM kwa kutumia vyombo vyake usiku na mchana kabla, wakati na baada ya M029 walitekeleza mauaji ya kukusudia kulenga watu fulani ambao hawakuwa wamebeba silaha yoyote, hivyo CCM na vyombo vyake kuwashambulia raia yaani kufanya purge na kusababisha mauaji ya kimbari / genocide

Hivyo Samia na genge lake lazima wapelekwe ICC The Hague Uholanzi

N.B

Purge remove (a group of people considered undesirable) from an organization or place in an abrupt or violent way.
 
Ukikoment unayo haki ya KUMALIZIA comment Yako Kwa kusema
MATAKO YAKE!
 
Wizi na ujambazi ulikuwa mwngi kuliko maandamano safi police kwa kuwalaza vibaka huoni now DayZ wizi umepungia. Angalia wezi mtaani si wamepungua.
 
Kiukweli kauli ya thabiti kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ?

Kubabake kyabakari ntaliaamwe.
Huo ndio utetezi aliompa mwendesha mashtaka msaidizi wa ICC alipokutana naye huko Addis?

Basi asubiri kesi ianze na Samia akajitetee hivyo hivyo kama itasaidia.
 
Wizi na ujambazi ulikuwa mwngi kuliko maandamano safi police kwa kuwalaza vibaka huoni now DayZ wizi umepungia. Angalia wezi mtaani si wamepungua.
Siku yenu inakuja, usiwe na shaka wala haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…