Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

Kazi ya gwanda la jeshi sio kumpendeza mtu, ni vazi la kazi.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Pascal anayeponda wapinzani wanaopata Kura 100000 wakati yeye kwenye chama chake pendwa anaambulia kura 1.

Huaminiki kwenye jamii
 
Kusema ukweli Pascal amekitumikia chama for futile profit Hatimaye sasa amezeeka.

Amekuwa kama Lipumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ