Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

Hii mada inatusaidia nini?
 
Hizo alizovaa ni sare tu. Awaachie wenyewe waliotoka jasho huko depo, kuzivaa hizo bila kupita depo ni ishara tu ya kuwa unapenda mafanikio kwa njia ya mkato.
 
Hii mada inatusaidia nini?
Sio kila mada ni lazima isaidie taifa, hii mada inawasaidia vipofu na wenye uoni hafifu, hivyo mwisho wa uwezo wao kuona, ni kuona tuu mtu aasiye mjeshi kavaa tuu sare ya jeshi na kuonekana kama mjeshi, mada hii ni kuwafungua macho sio kavaa tuu sare ya jeshi na kuonekana kama mjeshi bali ni mjeshi kweli, hivyo wasifanye mchezo mchezo.
P
 
Mayala kidogo ungeonekana zimo endapo ungemtupia na mzee wetu jenerali ulimwengu akiwa na samora Michael ingetupendeza sana
 
Wakishazoea kuvaa hivi ndio wanaanza kugeuka kuwa watawala badala ya kuwa viongozi. Raisi aliyechaguliwa kwa mfumo wa kiraia anavaa kijeshi ili iweje hata kama ana cheo cha amiri jeshi mkuu. Binafsi naonaga kama staili ya kuja hivi.
 
Tza dikteta hana nafasi atasambaratika
 
Tatizo la mayala ni njaa kama lilivyo jina lake na unafiki uliopindukia, sasa nafasi ya ukabila haipo, sasa unapigania tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…