Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

Mdogo wangu Paskali
Ninaamini kuwa kila mtu ana kitu anachokipenda.
Wewe umeonesha kupenda sana kusifia viongozi hata kwenye mambo yasiyofaa,yanayoumiza taifa bila kujali watu wanakutazamaje na kukutafsiri.

Kwenye issue nyeti kabisa,wewe hushabikia mambo ya kipuuzi kabisa.
Ulikuwa shabiki mkubwa wa mwendazake,makonda,wakati wakiumiza watu,Leo hii umebaki peke yako na mdomo wazi.

Mdogo wangu husimami kwenye hali wala hujasimama kutetea wanyonge.
Hii inapelekea watu kukuona unatafuta uteuzi.


Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani tunaongelea hoja ya umuhimu wa miradi kwa taifa? Nilidhani hoja yako ni kuwa miradi ya awamu ya tano yote ni ya JK.

Ila upo sawa Chato airpot kwa sasa sioni umuhimu wake. Naona ni hasara.
Katika miradi inayotuumiza watanzania ilifanywa viongozi hata ni

1. Mzee nyerere kutuvika kongwa la upumbavu na woga.
Sasa watawala wanatufanya watakavyo na hatuwezi kukabiliana nao.

2. Kikwete na ccm yake, kutuulia mchakato wetu wa katiba mpya.
Sasa watawala wanatutesa na kutuua.
Haki zetu zote tunazipata kwa kulamba miguu ya maccm,tiss na polisi.
MUNGU AWAANGALIE KWA JICHO LA UPENDO



Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni hapo juu tu. WOGA. Hayo mengine yoote ni matokeo ya WOGA.
 
Umeandika kitu hadim sana wenye afahamu tumekuelewa

 
Mkuu bora umekiri kuwa siku hizi huna hoja za maana umepoteza mvuto, Mkapa na JK waliwahi kufanya haya maigizo? ni mambo ya hovyo ndiyo maana Sabaya alianza kuvaa nguo za polisi kwenye kampeni za CCM
Mkapa nilimuona aidha 1996-1998, katikati hapo kuna picha alipiga katinga Baka baka...
 
Unafiki tu utakuua

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Dah..

Sasa Kwa sie tunaochaguliwa mavazi ya kuvaa na magelo friend wetu inakuwaje? Mtapima mood zetu Kwa mavazi tuliyovalishwa na kuchaguliwa nao au mtapima mood zetu Kwa namna gani?

Ila yote Kwa yote naunga mkono hoja.
 
Aisee nimecheka sana yaani sana, kwanza UZI wenyewe na wachangiaji.

Pasko watu washavurugwa saivi, mimi nilikuelewa sana, yaani sana na umeeleweka zaidi ulipomuweka Kenyatta maana amekaa kama muoga na asiye na uhakika na alichovaa(siyo mjeshi by nature), lakini kwa Samia kweli umeona alivyo kwa vile ni mjeda by nature? Ahahahahahhaha hakyamungu!

Yaani ngoja niendelee kucheka kwanza ntarejea ahahahah
 
ni kawaida yako kusifia ujinga, wala hatushangai
Hii ni nchi ya wasifiaji kutarajia teuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…