Kiukweli mabinti wa Arusha wako straight

Kiukweli mabinti wa Arusha wako straight

[emoji23][emoji23][emoji23]mangi kule ushambani Wana swaga za kiume ,Dar ndo mpango mzima na hata hapa dar wapo mademu wa chuga kibao hapa Town achana na kule ushamba mwingi wanapigo za kiume.....Mangi dar hapa ukiwa mshamba utapoteza kula pamba za maana kuwa muongo muongo na wewe omba gari kama hauna kula misele town utawapata tu sio chuga mademu wanabase wanaongea halafu wamekeketwa
Oooh sawa man wangu.
 
Woii wamekeketwa[emoji1787][emoji1787]...inamaana makabila yote ya chuga au
 
Habari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai kiukweli Arusha mfano baadhi ya watoto wa Mbauda, Ngusero, Mpaka Sakina wapo straight sio wazushi.

Yaani basi tu kwa sababu saivi nipo Dar mkoa ambao nilipanga kuishi muda wote Arusha hivyo changamoto niliyokutana nayo ndomana nipo Dar kwa sasa.

Sijajua kwa upande wa wenzangu kwa upande wangu hawakunisumbua akipanga appointment jumamos au siku yoyote sio hapa Dar mtu anasema j2 ntakutafuta ikifika siku hiyo ratiba nyingi mara oooh nimepata dharura ilimradi akuzingue.

Nachokumbuka kuna mdada nilimpata suala la dini lakini mahusiano hayakudumu alikataa kubadili dini awe mkristo na mimi nilikataa mwisho wa siku akapata muislamu akamuoa big up A city.
Karibu Mjini Dar ambako kila Demu hana hela ya Kodi
 
😂😂😂mangi kule ushambani Wana swaga za kiume ,Dar ndo mpango mzima na hata hapa dar wapo mademu wa chuga kibao hapa Town achana na kule ushamba mwingi wanapigo za kiume.....Mangi dar hapa ukiwa mshamba utapoteza kula pamba za maana kuwa muongo muongo na wewe omba gari kama hauna kula misele town utawapata tu sio chuga mademu wanabase wanaongea halafu wamekeketwa
Hao waliokeketwa ndio watamu minnawataka
 
Hata wanaume wa Chuga, wako real sanaa, hawana longo longo, nachopenda wana exposure ya mambeleeee, hawana unafiki na figisu za kibongooo.

Chugastan n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa ila umekuwa adimu sana au ndo majukumu
 
Back
Top Bottom