Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kamongo umefanya nini Pegere..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Oooh sawa man wangu.[emoji23][emoji23][emoji23]mangi kule ushambani Wana swaga za kiume ,Dar ndo mpango mzima na hata hapa dar wapo mademu wa chuga kibao hapa Town achana na kule ushamba mwingi wanapigo za kiume.....Mangi dar hapa ukiwa mshamba utapoteza kula pamba za maana kuwa muongo muongo na wewe omba gari kama hauna kula misele town utawapata tu sio chuga mademu wanabase wanaongea halafu wamekeketwa
[emoji1][emoji1][emoji1]Anakwambia haina kwere arifu.Mademu wa Kaloleni wanakaribiana na usela mavi.
Yaani namuambia
Jane Mambo ana jibu Haina noma jombaa.[emoji36]
So violent wadada wa chuga.
Watu wa Dar sijui mna matatizo gani🙆🙆🙆🙆[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kamongo umefanya nini Pegere..........
Woii wamekeketwa[emoji1787][emoji1787]...inamaana makabila yote ya chuga au[emoji23][emoji23][emoji23]mangi kule ushambani Wana swaga za kiume ,Dar ndo mpango mzima na hata hapa dar wapo mademu wa chuga kibao hapa Town achana na kule ushamba mwingi wanapigo za kiume.....Mangi dar hapa ukiwa mshamba utapoteza kula pamba za maana kuwa muongo muongo na wewe omba gari kama hauna kula misele town utawapata tu sio chuga mademu wanabase wanaongea halafu wamekeketwa
Tuko sawa tu...Watu wa Dar sijui mna matatizo gani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hiyo ni salamu tu isikupe shida cha muhimu upendo.Mademu wa Kaloleni wanakaribiana na usela mavi.
Yaani namuambia
Jane Mambo ana jibu Haina noma jombaa.[emoji36]
So violent wadada wa chuga.
Ngoja nawewe utaonaNilijua tu wewe upo pande hizo nimeufwatilia sana mwandiko wako. Big up sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tupo straight kabisa kiongozi kweli kama hatutaki hatukutaki kama tukikutaka tunakutaka basi ukizingua sepa unasepa nikikuamulia kukufumua tunakufumua shida ipo wapi
Karibu Mjini Dar ambako kila Demu hana hela ya KodiHabari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai kiukweli Arusha mfano baadhi ya watoto wa Mbauda, Ngusero, Mpaka Sakina wapo straight sio wazushi.
Yaani basi tu kwa sababu saivi nipo Dar mkoa ambao nilipanga kuishi muda wote Arusha hivyo changamoto niliyokutana nayo ndomana nipo Dar kwa sasa.
Sijajua kwa upande wa wenzangu kwa upande wangu hawakunisumbua akipanga appointment jumamos au siku yoyote sio hapa Dar mtu anasema j2 ntakutafuta ikifika siku hiyo ratiba nyingi mara oooh nimepata dharura ilimradi akuzingue.
Nachokumbuka kuna mdada nilimpata suala la dini lakini mahusiano hayakudumu alikataa kubadili dini awe mkristo na mimi nilikataa mwisho wa siku akapata muislamu akamuoa big up A city.
Hao waliokeketwa ndio watamu minnawataka😂😂😂mangi kule ushambani Wana swaga za kiume ,Dar ndo mpango mzima na hata hapa dar wapo mademu wa chuga kibao hapa Town achana na kule ushamba mwingi wanapigo za kiume.....Mangi dar hapa ukiwa mshamba utapoteza kula pamba za maana kuwa muongo muongo na wewe omba gari kama hauna kula misele town utawapata tu sio chuga mademu wanabase wanaongea halafu wamekeketwa
Mama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kamongo umefanya nini Pegere..........
Wewe ni toto la kimasai/ kiarusha sio?Sisi tupo straight kabisa kiongozi kweli kama hatutaki hatukutaki kama tukikutaka tunakutaka basi ukizingua sepa unasepa nikikuamulia kukufumua tunakufumua shida ipo wapi
Kwahiyo sifai kusamehewa na weweNgoja nawewe utaona
Kweli kabisa ila umekuwa adimu sana au ndo majukumuHata wanaume wa Chuga, wako real sanaa, hawana longo longo, nachopenda wana exposure ya mambeleeee, hawana unafiki na figisu za kibongooo.
Chugastan n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Majukumu yamenibanaa daaah. Ila niko oukKweli kabisa ila umekuwa adimu sana au ndo majukumu