Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana
Pisi za Arusha kuachana kama vile vitaKitu nachowapendea mademu wa chuga wakipenda huwa wanapenda kiukweli tatizo ukiwazingua hawanaga kujiuliza wapo straight
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mademu wa Kaloleni wanakaribiana na usela mavi.
Yaani namuambia
Jane Mambo ana jibu Haina noma jombaa.[emoji36]
So violent wadada wa chuga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kabisa tupo straight na ukituma nauli hatuli..Tunakuja kabisa wawili na meno yetu ya gold[emoji6]
hueleweki...unataka nini sasa we boya?Habari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai kiukweli Arusha mfano baadhi ya watoto wa Mbauda, Ngusero, Mpaka Sakina wapo straight sio wazushi.
Yaani basi tu kwa sababu saivi nipo Dar mkoa ambao nilipanga kuishi muda wote Arusha hivyo changamoto niliyokutana nayo ndomana nipo Dar kwa sasa.
Sijajua kwa upande wa wenzangu kwa upande wangu hawakunisumbua akipanga appointment jumamos au siku yoyote sio hapa Dar mtu anasema j2 ntakutafuta ikifika siku hiyo ratiba nyingi mara oooh nimepata dharura ilimradi akuzingue.
Nachokumbuka kuna mdada nilimpata suala la dini lakini mahusiano hayakudumu alikataa kubadili dini awe mkristo na mimi nilikataa mwisho wa siku akapata muislamu akamuoa big up A city.
Niambie....Eti hayo yanayosemwa yana ukweli wowote?Mama
Kwamba wamekomaa sura au?
Mnawaokota wanyonge. Hongereni bhanaSisi tupo straight kabisa kiongozi kweli kama hatutaki hatukutaki kama tukikutaka tunakutaka basi ukizingua sepa unasepa nikikuamulia kukufumua tunakufumua shida ipo wapi
Hata wanaume wa Songea Singapore mbona wana swagger za mambele! Utumwa huo cocaHata wanaume wa Chuga, wako real sanaa, hawana longo longo, nachopenda wana exposure ya mambeleeee, hawana unafiki na figisu za kibongooo.
Chugastan n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hiv tell unataka nini??Kwahiyo sifai kusamehewa na wewe
Tupo romantic sema sio hobby yetu tunajitahidi
NidhibitishieTupo romantic sema sio hobby yetu tunajitahidi
'Exposure' ya mambele ndio ipi hiyo?? Wanaume Kulana tigo au?Hata wanaume wa Chuga, wako real sanaa, hawana longo longo, nachopenda wana exposure ya mambeleeee, hawana unafiki na figisu za kibongooo.
Chugastan n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app