Kiukweli, Mandonga hakutendewa haki

Kiukweli, Mandonga hakutendewa haki

Refa alikuwa sahihi kabisa kumaliza pambano.
Jukumu la kwanza la refa ni kulinda afya za mabondia ulingoni.
Mandonga namna alivyo anguka ilitosha kumaliza pambano.
Kuhesabiwa ina tegemea na namna refa anavyo kuangalia hali ya afya ya bondia kwa namna alivyo anguka au alivyo pokea kipigo.
 
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.

Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya pili ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa Karim Mandonga aka Mtu Kazi.

Binafsi, sikuwahi kuwa bondia wala mwamuzi. Lakini, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa ndondi tangu miaka ya 90 mwanzoni. Kwahiyo, nimejifunza sheria na taratibu za ndondi kwa njia ya kuona.

Jana, wakati Mandonga alipopigwa ngumi kali ya mkono wa kulia ya Golola, alinguka vibaya chini akitanguliza sura. Lakini, alikuwa anataka kunyanyuka. Cha kushangaza, refarii aliwahi kumaliza pambano.

Refarii hakumpa nafasi Mandonga ya kuinuka na kuanza kuhesabiwa ili kujulikana kama anaendelea au la. Kitendo cha Mandonga kuwa anajiinua kutoka chini, refarii aliwahi kumaliza pambano na huku akiwa kama anamzuia Mandonga asiinuke.

Mandonga amenyimwa nafasi yake halali ya kuinuka na kuhesabiwa. Hakutendewa haki. Anapaswa kupiga au kupigwa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu za ndondi. Au labda kama kulikuwa na sababu nyingine ambayo mimi layman wa ndondi sikukijua.
Ungekuwa kweli ni mfuatiliaji wa ngumi basi ungeelewa alichokifanya refa, fuatilia mapambano ya Tyson wengine aliowapiga TKO hawakuhesabiwa, ni refa direct anamaliza pambano, jaribu kuseach YouTube Tyson na Bruce Seldom au na Mac Caine utaona Tyson alishinda kwa TKO ya aina gani, Tena round ya kwanza tu.

Wewe upo kwenye TV refa yupo kwenye ulingo.

Refs angemuhesabia Mandonga na kaamka na kuendelea na pambano na akapigwa ngumu moja tu na kufia ulingoni bado ungebadiri gia na kumlaumu refa, ungesema refa alikuwa na uwezo wa kumlinda Mandonga na kumuokowa uhai wake.

Tuache ujuwaji.
 
Refa alileta uhuni, jamaa bado alikuwa anajiweza, tena alikuwa anainuka.
Ulitaka afe kabisa ndy awe ametendewa haki?

Sometimes refa anafanya maamuzi sahihi ya kumuokoa bondia .

Mandonga jinsi alivyoanguka hata angeendelea angepigwa tena vibaya Sana.

Alishalewa na lile KONDE LA JAMAA.
 
Tuko pamoja naye mpaka wamuue[emoji28]
1690142829467.jpg
 
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.

Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya pili ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa Karim Mandonga aka Mtu Kazi.

Binafsi, sikuwahi kuwa bondia wala mwamuzi. Lakini, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa ndondi tangu miaka ya 90 mwanzoni. Kwahiyo, nimejifunza sheria na taratibu za ndondi kwa njia ya kuona.

Jana, wakati Mandonga alipopigwa ngumi kali ya mkono wa kulia ya Golola, alinguka vibaya chini akitanguliza sura. Lakini, alikuwa anataka kunyanyuka. Cha kushangaza, refarii aliwahi kumaliza pambano.

Refarii hakumpa nafasi Mandonga ya kuinuka na kuanza kuhesabiwa ili kujulikana kama anaendelea au la. Kitendo cha Mandonga kuwa anajiinua kutoka chini, refarii aliwahi kumaliza pambano na huku akiwa kama anamzuia Mandonga asiinuke.

Mandonga amenyimwa nafasi yake halali ya kuinuka na kuhesabiwa. Hakutendewa haki. Anapaswa kupiga au kupigwa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu za ndondi. Au labda kama kulikuwa na sababu nyingine ambayo mimi layman wa ndondi sikukijua.
Hebu rekebisha hapo, ilikuwa round ya 3 sio ya 2
 
Refa alikuwa sahihi kabisa kumaliza pambano.
Jukumu la kwanza la refa ni kulinda afya za mabondia ulingoni.
Mandonga namna alivyo anguka ilitosha kumaliza pambano.
Kuhesabiwa ina tegemea na namna refa anavyo kuangalia hali ya afya ya bondia kwa namna alivyo anguka au alivyo pokea kipigo.
Kwani mandonga huwa anaangukaje?.yule ni mzito kama gunia ndo maana uangukaji wake ni wakujiachia mwili mzima.Kwakua alionyesha dalili zakusimama refa alitakiwa amuache asimame alafu amuhesabie uku anafwatilia utimamu wake.Kama angeona hali yake sio nzuri ndio amalize pambano sio vile alivyofanya.
 
Kumbe upo bwana wakili msomi,mbona sijaona bandiko lako kuhusu bandari kupewa muarabu wa Dubai
Anaendelea kusoma upepo kwanza juu ya maamuzi yatakayotolewa kwenye ile case ya Mahakama Kuu Mbeya ya akina wakili Msomi Mwabakusi dhidi ya Jamhuri😊
 
Ungekuwa kweli ni mfuatiliaji wa ngumi basi ungeelewa alichokifanya refa, fuatilia mapambano ya Tyson wengine aliowapiga TKO hawakuhesabiwa, ni refa direct anamaliza pambano, jaribu kuseach YouTube Tyson na Bruce Seldom au na Mac Caine utaona Tyson alishinda kwa TKO ya aina gani, Tena round ya kwanza tu.

Wewe upo kwenye TV refa yupo kwenye ulingo.

Refs angemuhesabia Mandonga na kaamka na kuendelea na pambano na akapigwa ngumu moja tu na kufia ulingoni bado ungebadiri gia na kumlaumu refa, ungesema refa alikuwa na uwezo wa kumlinda Mandonga na kumuokowa uhai wake.

Tuache ujuwaji.
Jielimishe badala yakukariri nakuona wengine ni wajuaji wewe tu ndo unayejua wakati ata wewe mjuaji tu.Kwahiyo hawa wanaohesabiwa wanakua hawajapigwa nakuanguka?.Sio kila anayepigwa na kuanguka refa amalize pambano.itategemea na kiwango cha athari alichokipata mpigwaji ndo maana hiyo kanuni ipo.Kumbuka pia ata marefa wahuni pia wapo,wako wanaochukua mlungula anatembea na gap.kwahiyo tusikariri sana.
 
Mandonga alikuwa anagombea mkanda gani?

Shirikisha akili yako.
 
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza.

Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya pili ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa Karim Mandonga aka Mtu Kazi.

Binafsi, sikuwahi kuwa bondia wala mwamuzi. Lakini, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa ndondi tangu miaka ya 90 mwanzoni. Kwahiyo, nimejifunza sheria na taratibu za ndondi kwa njia ya kuona.

Jana, wakati Mandonga alipopigwa ngumi kali ya mkono wa kulia ya Golola, alinguka vibaya chini akitanguliza sura. Lakini, alikuwa anataka kunyanyuka. Cha kushangaza, refarii aliwahi kumaliza pambano.

Refarii hakumpa nafasi Mandonga ya kuinuka na kuanza kuhesabiwa ili kujulikana kama anaendelea au la. Kitendo cha Mandonga kuwa anajiinua kutoka chini, refarii aliwahi kumaliza pambano na huku akiwa kama anamzuia Mandonga asiinuke.

Mandonga amenyimwa nafasi yake halali ya kuinuka na kuhesabiwa. Hakutendewa haki. Anapaswa kupiga au kupigwa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu za ndondi. Au labda kama kulikuwa na sababu nyingine ambayo mimi layman wa ndondi sikukijua.
Mandonga ni promota wa ndondi mwisho wa kupromoti ilikuwa raundi yapili.Ilikuwa lazima pambano liishe maana mandonga sio bondia.Watu wanatumia nyota ndugu na ya mandonga inangaa sana.
 
Wabongo wamejaliwa kipaji cha ujuaji. Mtu hujawahi hata kuwa bondia! Hujawahi kuwa mwamuzi wa hizo ngumi! Na bado unapata kabisa ujasiri wa kusema bondia kaonewa!
 
Back
Top Bottom