Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Manula ametoka mbali na klabu cha kushangaza wamepambana kumbakisha yule mkongo mwenye rasta
 
Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.

Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Kesho anatambulishwa Yanga
 
Ndivo mpira ulivo, ila kazi yake ilionekana na itabaki kama alama
 
Leo umeongea la maana , kumbe nje ya siasa za chadema unawaza vitu vya maana
 
Katika watu nilikuwa siwaamini ni huyo manula. Bado wachache timu itakaa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…