Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Mnasemaga hamng'ang'anii mchezaji haya.......

View: https://www.instagram.com/p/C-Nx1Haqr4e/?igsh=YXY5OWQ5Z2ZpNHNv
Na Msemaji wenu kasema ile timu aliyo itangaza leo ndio kikosi cha msimu huu.

Sasa kwanini hamtaki kumwachia,wakati hamtaki kumtumia au ndio mnamkomoa Tsh .

Haya yule mliyekuwa mkimsifia kipindi kile cha Fei ndiye meneja wake.Haya endeleni kumsupport kwenye swala la Manula.
 
Tutamvunjia mkataba saa tisa usiku
 
Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.

Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Aliamua kuwa duka sasa tutamuagaje?
 
Licha ya kua duka lakini pia kiburi na dharau zake ndio sababu, hapa ni ubaya ubwela tuu
 
Kwani Kafanyaje tena huyu? Labda tuna mpango naye.
Mpango upi au hujamsikia Msemaji wenu?

Vizuri meneja wake ni Mchambuzi, Wakala,Mkurugenzi na Mwanasheria so mtajuana nae,kipindi kile cha Fei mlisifia alivyokuwa akichambua vipengele hasivyo vielewa vya mkataba,mnae huyo.
 
Anaweza akawa amekaa muda mrefu ila hana tija kama ilivyo kwa mbowe alivyokaa muda mrefu kama mwenyekiti wa chama
 
Nani asie jua kua ilo ni Duka la jumla na reja reja.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mpango upi au hujamsikia Msemaji wenu?

Mzuri meneja wake ni Mchambuzi, Wakala,Mkurugenzi na Mwanasheria so mtajuana nae,kipindi mlisifia alivyokuwa akichambua vipengele hasivyo vielewa vya mkataba,mnae huyo.
Si ni mchezaji wetu lakini? Sijaelewa hoja yako boss. Mm ninavyojua tangu aumie hajarudi sawa ila ni mchezaji wa Simba na akiwa fit anatakiwa kupambania namba. Kama hatujamruhusu inamaana kuna mipango inayomuhusu.
 
Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.

Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
We unajua ye anaifanyia nini simba nyuma ya pazia achen kuhukumu bila kujua kinachoendelea
 
Si ni mchezaji wetu lakini? Sijaelewa hoja yako boss. Mm ninavyojua tangu aumie hajarudi sawa ila ni mchezaji wa Simba na akiwa fit anatakiwa kupambania namba. Kama hatujamruhusu inamaana kuna mipango inayomuhusu.
Umelisoma bango la meneja wake?Umelielewa?

Sasa anaipambania vip namba wakati hayupo kwenye kikosi chenu rasmi cha 23/24? au hujamsikia msemaji wenu......?
 
Back
Top Bottom