Katoka mbali na Klabu wapi?! Alikuwa anacheza bure kwani?!Manula ametoka mbali na klabu cha kushangaza wamepambana kumbakisha yule mkongo mwenye rasta
Aliondoka kwa heshima?Mbona ufipa hawakumuaga msigwa kwa heshima,
Aliamua kuwa duka sasa tutamuagaje?Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.
Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Kwani Kafanyaje tena huyu? Labda tuna mpango naye.Mnasemaga hamng'ang'anii mchezaji haya.......
View: https://www.instagram.com/p/C-Nx1Haqr4e/?igsh=YXY5OWQ5Z2ZpNHNvNa Msemaji wenu kasema ile timu aliyo itangaza leo ndio kikosi cha msimu huu.
Sasa kwanini hamtaki kumwachia,wakati hamtaki kumtumia au ndio mnamkomoa Tsh .
Haya yule mliyekuwa mkimsifia kipindi kile cha Fei ndiye meneja wake.Haya endeleni kumsupport kwenye swala la Manula.
israel mwenda,manula hawajatajwaHuyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.
Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Mpango upi au hujamsikia Msemaji wenu?Kwani Kafanyaje tena huyu? Labda tuna mpango naye.
SijaelewaMnasemaga hamng'ang'anii mchezaji haya.......
View: https://www.instagram.com/p/C-Nx1Haqr4e/?igsh=YXY5OWQ5Z2ZpNHNvNa Msemaji wenu kasema ile timu aliyo itangaza leo ndio kikosi cha msimu huu.
Sasa kwanini hamtaki kumwachia,wakati hamtaki kumtumia au ndio mnamkomoa Tsh .
Haya yule mliyekuwa mkimsifia kipindi kile cha Fei ndiye meneja wake.Haya endeleni kumsupport kwenye swala la Manula.
Jemedari ndiye Meneja wa Manula, so wanaelekea TFF, sababu kaziandika.Sijaelewa
Si ni mchezaji wetu lakini? Sijaelewa hoja yako boss. Mm ninavyojua tangu aumie hajarudi sawa ila ni mchezaji wa Simba na akiwa fit anatakiwa kupambania namba. Kama hatujamruhusu inamaana kuna mipango inayomuhusu.Mpango upi au hujamsikia Msemaji wenu?
Mzuri meneja wake ni Mchambuzi, Wakala,Mkurugenzi na Mwanasheria so mtajuana nae,kipindi mlisifia alivyokuwa akichambua vipengele hasivyo vielewa vya mkataba,mnae huyo.
We unajua ye anaifanyia nini simba nyuma ya pazia achen kuhukumu bila kujua kinachoendeleaHuyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.
Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Huyu ndo anayempotosha kijana kwa akili zake ndogoJemedari ndiye Meneja wa Manula, so wanaelekea TFF, sababu kaziandika.
Umelisoma bango la meneja wake?Umelielewa?Si ni mchezaji wetu lakini? Sijaelewa hoja yako boss. Mm ninavyojua tangu aumie hajarudi sawa ila ni mchezaji wa Simba na akiwa fit anatakiwa kupambania namba. Kama hatujamruhusu inamaana kuna mipango inayomuhusu.
Uko wapi kwanzaZile tano zilimponza......