Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
HUO NI UKWELI MTUPU.Saa zingine kama huna kitu cha maana unanyamaza tu sasa hii ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUO NI UKWELI MTUPU.Saa zingine kama huna kitu cha maana unanyamaza tu sasa hii ni nini?
Kuna tangazo moja nililiona mahali mtandaoni sijalipata. Kwenye hizi expo ambazo hufanyika bara Ulaya, Asia, Marekani nk, Kenya ilikuwa inatangaza vivutio vyake.Nipe mfano kenya wanatangaza utalii sana kuliko sisi kivipi
Huijui Kenya wewe, endelea na umario , chati ya kuwa juu kiuchumi inashikiliwa na wachache wengi wako taabani na nilichokomenti ndiyo maisha yaoHukumu kwa haki tuache ujuha
Ficha upuuzi wako, Nimeishi sana Nairobi, hata magari yao serikali imepiga marafuku magari chakavu tofauri na sisi tunaingiza mikweche.Huijui Kenya wewe, endelea na umario , chati ya kuwa juu kiuchumi inashikiliwa na wachache wengi wako taabani na nilichokomenti ndiyo maisha yao
Kama Kenya ni Nairobi sawa, jijibu mwenyewe nishakuelewa ni mtu wa aina gani, hoja ni nzito kuliko maneno ya kipuuzi, uliza jioni hii wamepika nini ule , usubiri kesho tenaFicha upuuzi wako, Nimeishi sana Nairobi, hata magari yao serikali imepiga marafuku magari chakavu tofauri na sisi tunaingiza mikweche.
Jamaa wanachapa kazi sana, watafutaji sana na wanafanya kazi kwa muda mrefu sana, kwa kifupi wapo juu mno...
Choka mbaya nao wapo sana tu lakini hawalingani na humu kutwa kushinda vijiweni
Haha uko na UJINGA si haba. HONGERA.Kama Kenya ni Nairobi sawa, jijibu mwenyewe nishakuelewa ni mtu wa aina gani, hoja ni nzito kuliko maneno ya kipuuzi, uliza jioni hii wamepika nini ule , usubiri kesho tena
Asante, hata saa mbovu sometimes zinasema ukweli.Haha uko na UJINGA si haba. HONGERA.