Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
Mkuu, unajua 5.6% ya GDP ya 96 then na 6.8% ya 55%, gani kubwa?., unajua Nigeria iki kua kwa only 2%, that growth is huge than your 6.8%.,
Wacha nikurahisishie. Kuna masikini akinunua Kitu kama TV, Fridge ama gari kwa mfano, na tajiri anunue vitu hivyo hivyo, inaezekana masikini ameongeza mali yake kwa 10% increament, ukiangalia uwezo wake wa kiuchumi, na kuna uwezekano tajiri amenunua vitu same na za yule masikini, but itakua maybe 0.5 or 1% increament kwa mali yake., ndio maana gap ya Kenya na Tz inapanuka, licha ya Tz kukua zaidi ya 6%., pale ambapo Kenya itaanza kukua below 2%, itawachukua miaka zaidi ya kumi kuifikia Kenya, na ujue Kenya inafaa iwe imesimama, ama inkua negative or below 2% kwa miaka zaidi ya kumi. Ndio maana wale wenye wivu na roho mbaya huwa wanafurahia Kenya ikipata janga, ndani mwao wanaona ni fursa ya kuipiku Kenya. Hilo halifanyiki hivi karibuni. Kenya iko na stable economic foundation.
umeeleza vizuri nimeipenda !
one big remaining question is how Kenya can paralyse the speed ya economic growth ya TZ chini ya Bulldozer?
hivi mnajua tumeanza kupokea groups of tourists from the west? waambieni wazungu wako Kenya waje huku TZ kwa wingi kutalii because Tanzania is now Corona free zone! we have forgotten to wear masks! we breathe freely!!