mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
wewe ni mjinga hujui indicators nyingi za kuonesha tumezidiwa na Kenya, soma level of formal education kwa raia wa Kenya na TZ , soma kuhusu HDI report ya UNDP hasa kuhusu household poverty Tanzania versus Kenya , ukimaliza hiyo soma Civic Education levels between raia wa two countries, kisha soma Kuhusu State foreign reserves / Economy kati ya Kenya na TZ kisha soma kuhusu Remittance amount from Diaspora between Kenya na TZ , kisha soma kuhusu wakenya wangapi wako makazini Europe and US versus wabongo, soma kuhusu level of democracy , human rights na muundo wa Tume ya Uchaguzi kati ya Kenya na TZ, kisha soma kuhusu Mashirika ya kimataifa yenye Headquarters Nairobi for East Africa kisha malizia na NGO ngapi ziko active Kenya versus TZ!!
mkuu kubali wametupita mbali mambo mengi ili tujitutumue!!
tunachowazidi Kenya kwasasa ni ukuaji wa uchumi mwaka jana TZ 6.8 Kenya 5.6!
wewe ni miongoni mwa watz wachache ambao hata leo hii wakiulizwa kenya imetuzidi nini,utajibu jumla tu aaaah wametuzidi mbaaali.
wakati wenzako tunaangalia hali ya masikini wa kikenya na kitz,wewe unaangalia namba za diaspora kati ya nchi hizi mbili[emoji16][emoji16].
wakati wenzako tunaangalia unafuu wa maisha kati ya nchi hizi mbili,wewe unaangalia HQ za mashirika wapi zinapatikana kwa wing[emoji16][emoji16]
wakati wengine tunaangalia kiwango cha ubora wa elimu anayotakiwa kuwa nayo mtu,wakenya nawewe mnaangalia quantity,ambayo inasababisha maghorofa na madaraja kuanguka kila siku huko[emoji16][emoji16]
wakati unapima uchumi kwa bajeti kubwa ya nchi,sisi tunaangalia impact ya bajeti kwa kila nchi,nguvu ya sarafu inasimama hapa sio namba[emoji16][emoji16].
umeingiza human righ,democracy na muundo wa tume ya uchaguzi kimakosa hapo,sijui huelewi ulichoandika au ulikusudia kuchanganya mambo!!!kama ulikusudia nikupe taarifa labda ulikuwa hujazaliwa,lutto ana kesi ICC kwa maswala haya yahusuyo uchaguzi,2017 kuna vifo vilisababishwa na uchaguzi wa kihuni unaousifia.
bado una muda mrefu wa kujifunza haya mambo kabla hujaamua kuita mtu ni mjinga.