Kiukweli nawashangaa wakenya, hivi wametuzidi Watanzania kwa lipi?

Kiukweli nawashangaa wakenya, hivi wametuzidi Watanzania kwa lipi?

Wakenya wametuzidi kiuchumi
Wametuzidi kwa viwanda
Wametuzidi kwa exposure
Wametuzidi kwa kujitambua
Wametuzidi kwa Utajiri
Wametuzidi kwa ujasiri wa kwenda nchi za nje.
Utajiri wanatuzidi wap
tapatalk_1594747827443.jpeg
 
tumewazidi kwa kujieleza kwa kutumia kiswahili,,,wao wametuzidi kwa kiingereza
 
Habari za wakati huu,

Leo nimeamua niulize tu labda itaondoa utata kidogo. Kumekua na tendency ya Wakenya kujiona wapo juu kwa kila kitu kuliko Tanzania.

Tuongee fact; Wakenya walichoizidi Tanzania ni kipi?
Elimu, Exposure, English language, Biashara, Uchumi
 
nimefanya kazi na wakenya nimeenda Kenya mara mia uzoefu wangu!

1. Wakenya wana mfumo mzuri wa elimu ya kibepari (capitalist) ambayo wahitimu hujiajiri na kwa vile wanasoma kwa English tangu chekechea kila mtu ni tour guide, anajiuza nje na ndani ya nchi, na wageni hujazana Kenya sababu ya communication, hata mama ntilie anaongea English!

2.Wakenya hutuzidi kwa kuchangamkia fursa yoyote ndani na nje ya Kenya,

3.Wakenya huapply kazi wasiyoijua wakiitwa kwa interview wanajifunza kabla ya kwenda na wakiajiriwa wanakazana kujifunza kwa wenyeji namna kazi inavyofanyika na kuongeza ya kwao

4. Wakenya wanapenda kuwa smart mda wote na kuficha umaskini na hata position iwe kubwa wanaapply tu na kwenda kujuana mbele kwa mbele!

5. wakenya wako up to date na dunia inavyokwenda na wanahaha kutafuta fursa na kuiba popote duniani ikibidi

6. wakenya wanatuzidi confidence na kila mtu anashindana maendeleo na mwenzake

7. wakenya wanatuzidi wizi na ufisadi!!

my take
Tayari Tanzania imeipita Kenya kwa ukuaji wa kiuchumi mwaka jana 6.8 versus 5.6 na hata mwaka huu wao wamefungiwa sie tunapeta tu , wakenya wanatuogopa mno kwasasa!

Tunahitaji kufanya mambo mawili tu kuwapita mbali wakenya ambao ni nchi ya pili duniani kwa ufisadi

1. Kuandika upya mtaala wenye mrengo wa kibepari ambao huhamasisha watu kujiajiri na kuwa matajiri
2.kufundisha shule kuanzia chekechea kwa English ili tuungane na dunia nzima kibiashara na kimahusiano
 
Duh! Ngombe za namna hii bado zipo? Anyway endelea kuamini unachoamini
Wow!! Hicho ndo pekee ulichoweza kusema, and still you have a gut to refer others with ng'ombe.. what a pity!!

Yaani kushadadia mambo kama utoaji wa takwimu zisizo sahihi, amabazo hata mtoto anajua sio sahihi; kwako huko ndiko kujitambua na wasioshadadia uzwazwa kama huo kwako ni ng'ombe; and in turn, wanaosema hizo takwimu ni fake, wakati hata wenyewe wanaotoa hizo takwimu wanajua ni fake; kwako hao ndo hawajitambui... mang'ombe fulani hivi!!!

Hongera Kwa Kujitambua Kutojitambua!!
 
Inshort Kenya Kuna waungaji waungaji wengi sana ndo hao wakijabongo wanajambisha watu wakiondoka mnabaki wakenya noma ndio n noma ila wanajiamin mno hata kama n darasa la saba pia n wez hatar mie n Shahid ya haya ninayokwambia
walikuibia nini Mkuu?
je, ulikua wizi wa mabavu au pengine ulijisahau? elezea kwa kina
 
Habari za wakati huu,

Leo nimeamua niulize tu labda itaondoa utata kidogo. Kumekuwa na tendency ya Wakenya kujiona wapo juu kwa kila kitu kuliko Tanzania.

Tuongee fact; Wakenya walichoizidi Tanzania ni kipi?
Wametuzidi kuongea Kiingereza...tehtehteh
 
Back
Top Bottom