Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Serikali iliacha kutoa update kwa maana ambayo waliona inafaa kwa nchi pia kwa namna nyingine updates za Corona hazikusaidii lolote katika kuleta ugali mezani kuna magonjwa mengi yalikuwepo na yapo na yanaendelea kuwepo na yanaua sana zaid ya hata hyo Corona kaa ukijua Inshu ya corona ilkua overated sana ndo mana kwenye maandamano ya USA hujaona effects kubwa ya ugonjwa compared walivyokuwa street wakiandamana.Let me guess... You're Jiwe Supporter ambao mnadhani uzalendo ni kuficha ficha mambo!!! Btw, ukichukua mfano wa corona, sasa kwanini watu wasikejeli kwamba Tanzania wanaficha wakati hata mtoto wa darasa la pili anafahamu hilo?!
Corona updates kwa Tz, ni hii hapa chini, ambayo tangu May 09, inaonekana hajaongezeka mgonjwa hata mmoja!
HAPA NDO TUNAKUJA KUJUA KUWA SISI TUNAPENDA KUFANYA YASIOTUHUSU NA KUACHA YA MAANA YANAYOTUHUSU pia tusihamishe magoli turud kwenye mana naomba wewe uwe sample ya watu mnajinyima uhuru wa kufanya kaz ukisubir filimbi ipulizwe