Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FACTSio kwamba wametuzidi ila sisi wenyew hatujiamini halafu tumekuwa wanafki.
Usipojiamini ww mwenyewe hakuna atakayekuamini.
Huku mitandaoni watanzania kila kukicha wanatukana na kudharau viongozi wao lakn hilo Kwa wenzetu hulioni. Hata kama wanakosoa wanakosoa Kwa akili na hekima.
Chukulia mfano kwenye corona. Wakenya wakitoa ripoti kuwa wanawagonjwa 10 watanzania wanasifia kuwa hao wamesema ukweli lakn huku Tanzania wakisema wanawagonjwa 8 watanzania wanaanza kukejeli kuwa wanaficha taarifa.
Kwani jirani yako akikuzidi kuna ubaya gani? Tatizo tunapenda kufunika ukweli ili tuoalilie uongo,huwa inatusaidia nini? Watanzania sisi ni waongo sana hata Mungu hapendi.habari za wakati huu,leo nimeamua niulize tu labda itaondoa utata kidogo.
kumekua na tendency ya wakenya kujiona wapo juu kwa kila kitu kuliko Tanzania.
tuongee fact wakenya walichoizid tanzania ni kipi?
View attachment 1510359
hizo ni chain tu ambazo zimetengenezwa na zimekua norms sasa kwani kuchangia harusi ndo mtu anakua hajitambuiWakenya wetuzidi kujitambua kidogo kwenye mambo ya msingi
Mf: tz tupo lazi kuchangia harusi ila si kuchangia mtoto wa mwenzako aende shule, ila wakenya ukitaka ufunga ndoa jua utafanya kwa garama yako ila kama ninada ya mtoto kwenda shule hapo watakuchangia had card wengine uwa wanaandaa kabisaaa
Hiv kuchangia harus alaf ukaacha kuchangia jiran yako ambae hana uwezo ili mtoto wake aende shule kipi bora?hizo ni chain tu ambazo zimetengenezwa na zimekua norms sasa kwani kuchangia harusi ndo mtu anakua hajitambui
Sure jibaba,too OVERRATED...😂😂fact mkuu hawa watu tuna wa overrate thats why wanatuoshea
Wakenya wametuacha mbali ktk baadhi ya vitu hasa vile muhimu. Awareness ya mtu mmoja mmoja.Habari za wakati huu,
Leo nimeamua niulize tu labda itaondoa utata kidogo. Kumekua na tendency ya Wakenya kujiona wapo juu kwa kila kitu kuliko Tanzania.
Tuongee fact; Wakenya walichoizidi Tanzania ni kipi?
Nipe mfano kenya wanatangaza utalii sana kuliko sisi kivipiWakenya wametuacha mbali ktk baadhi ya vitu hasa vile muhimu.
Awareness ya mtu mmoja mmoja,
Ni wapambanaji sana ona wsnaviutangaza utalii kwao ilihali sisi ndio tuna vivutio vingi.
Ila pia wametuzidi kwa rushwa
hilo ni kutokana na nature ya watu husika unafikiri kenya wanashindwa kuchangia harusi? lakini wameweka elimu as priority na sisi numeweka norm as priorityHiv kuchangia harus alaf ukaacha kuchangia jiran yako ambae hana uwezo ili mtoto wake aende shule kipi bora?
Hiv kuchangia harus alaf ukaacha kuchangia jiran yako ambae hana uwezo ili mtoto wake aende shule kipi bora?
KidhunguHabari za wakati huu,
Leo nimeamua niulize tu labda itaondoa utata kidogo. Kumekua na tendency ya Wakenya kujiona wapo juu kwa kila kitu kuliko Tanzania.
Tuongee fact; Wakenya walichoizidi Tanzania ni kipi?
Let me guess... You're Jiwe Supporter ambao mnadhani uzalendo ni kuficha ficha mambo!!! Btw, ukichukua mfano wa corona, sasa kwanini watu wasikejeli kwamba Tanzania wanaficha wakati hata mtoto wa darasa la pili anafahamu hilo?!Sio kwamba wametuzidi ila sisi wenyew hatujiamini halafu tumekuwa wanafki.